MAFUNZO YA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI KIGOMA
Hatimaye mafunzo ya huduma ya leseni kwa njia ya mtandao kwa wachimbaji madini mkoani Kigoma yamemalizika. Mafunzo hayo yamehudhuriwa na wachimbaji madini zaidi ya mia moja.
Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo, Afisa Madini Mkazi- Kigoma, Adam Juma aliwataka wachimbaji madini mkoani humo kuhakikisha wanafika Ofisi za Madini-Kigoma kwa ajili ya kusajiliwa kwenye mfumo huo.
Alisema ni vyema wachimbaji hao wakafanya hivyo mapema ili waanze kutumia mfumo huo ili kwenda sambamba na kasi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAFUNZO YA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI KATAVI
9 years ago
MichuziMAFUNZO KUHUSU HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO YAANZA RASMI KANDA YA KUSINI
10 years ago
MichuziMAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)
10 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YAZINDUA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
MichuziWACHIMBAJI WADOGO SHINYANGA WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO
10 years ago
MichuziBayport yazindua huduma ya mikopo kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedhaya Bayport Financial...
10 years ago
GPLNMB, AIRTEL WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Hospitali ya Amana yaanza kutoa huduma kwa njia ya mtandao
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10