MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)
![](http://4.bp.blogspot.com/-_abOajkhPjQ/VcfT2RA3IJI/AAAAAAAHvj0/AcubMiexSRk/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Wizara ya Nishati na Madini inaendelea na mpango wake wa Mafunzo kwa Wachimbaji Madini Nchini kuhusu matumizi ya Mfumo wa Huduma za Leseni kwa njia ya Mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP). Pamoja na malengo mengine, Mfumo huo umeanzishwa ili kutekeleza agizo la Serikali la kutaka Wizara na taasisi za Serikali ziwe zinapokea malipo ya Serikali kwa njia za kielektroniki. Mafunzo hayo yanatarajiwa kutolewa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima ili kuwajengea uwezo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAFUNZO KUHUSU HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO YAANZA RASMI KANDA YA KUSINI
9 years ago
MichuziWACHIMBAJI WADOGO SHINYANGA WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO
10 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YAZINDUA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
MichuziMAFUNZO YA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI KIGOMA
Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo, Afisa Madini Mkazi- Kigoma, Adam Juma aliwataka wachimbaji madini mkoani humo kuhakikisha wanafika Ofisi za Madini-Kigoma kwa ajili ya kusajiliwa kwenye mfumo huo.
Alisema ni vyema wachimbaji hao wakafanya hivyo mapema ili waanze kutumia mfumo huo ili kwenda sambamba na kasi ya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5hcfuvzs83s/Vdjn1Hy_SqI/AAAAAAAHzMI/zwNf-2gyMgs/s72-c/unnamed%2B%252815%2529.jpg)
MAFUNZO YA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI KATAVI
11 years ago
Habarileo20 Jul
Madini wakabidhi leseni kwa wachimbaji wadogo
SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imekabidhi leseni mbili zenye namba 1268 na 1269 kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Ishokelahela, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Leseni za madini sasa kulipiwa kwa mtandao
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-d7v1cce0SPg/VHVi5vJB2sI/AAAAAAAGzdY/76ipg3Cvvs0/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Kamishna wa Madini afungua mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake.