Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Leseni za madini sasa kulipiwa kwa mtandao

Wizara ya Nishati na Madini, imezindua matumizi ya mfumo mpya wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya kielektroniki (OMCTP)

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Leseni za madini zaanza kulipiwa kielektroniki

WIZARA ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao kupitia Mfumo wa Kielektroniki wa Leseni za Madini (OMCTP), ambao umeanza kutumika rasmi Desemba 10 mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)

Wizara ya Nishati na Madini inaendelea na mpango wake wa Mafunzo kwa Wachimbaji Madini Nchini kuhusu matumizi ya Mfumo wa Huduma za Leseni kwa njia ya Mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP). Pamoja na malengo mengine, Mfumo huo umeanzishwa ili kutekeleza agizo la Serikali la kutaka Wizara na taasisi za Serikali ziwe zinapokea malipo ya Serikali kwa njia za kielektroniki. Mafunzo hayo yanatarajiwa kutolewa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima ili kuwajengea uwezo.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAZINDUA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) akisoma hotuba ya uzinduzi wa huduma za leseni kwa njia ya mtandao.Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (katikati) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa huduma za leseni kwa njia ya mtandao. Wa pili kutoka kulia ni Kamishna wa Madini Nchini, Mhandisi Paul Masanja na wa kwanza kushoto mbele ni Kamishna Msaidizi wa Madini- Kitengo cha Leseni, Mhandisi John Nayopa.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

MAFUNZO KUHUSU HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO YAANZA RASMI KANDA YA KUSINI

 Mtaalam kutoka  Kitengo cha Leseni, Wizara ya Nishati na Madini, Charles Gombe akielezea hatua za Wizara katika  kuboresha huduma za leseni za madini kwa njia ya mtandao (Online Mining Cadastre Transactional Portal; OMCTP) kwa wachimbaji wa madini (hawapo pichani) mjini Mtwara. Lengo la mafunzo hayo lilikuwa ni kuwapa uelewa  wachimbaji wa madini kuhusu  huduma hiyo pamoja na kuwasajili. Baadhi ya wachimbaji wadogo  wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa na...

 

9 years ago

Michuzi

WACHIMBAJI WADOGO SHINYANGA WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO

 Kamishna Msaidizi wa Madini, Kanda ya Kati – Magharibi, Humphrey Mmbando akitoa ufafanuzi wa baadhi ya masuala muhimu yaliyojitokeza wakati wa semina kwa wachimbaji wadogo wa madini kuhusu mfumo mpya wa huduma za utoaji wa leseni za madini kwa njia ya mtandao (Online Mining Cadastre Transactional Portal – OMCTP). Semina hiyo imefanyika leo mjini Shinyanga na ni mwendelezo wa Mafunzo yanayotolewa nchi nzima kwa wachimbaji wadogo na wamiliki wa leseni za madini nchini. Wengine pichani (mstari...

 

10 years ago

Habarileo

Nishati wazindua leseni kwa mtandao

WIZARA ya Nishati na Madini juzi ilizindua utoaji wa huduma za leseni kwa njia ya mtandao ambapo mfumo huo unatarajia kuondoa mianya ya rushwa, manung’uniko na migogro kwa wachimbaji wakubwa na wadogo nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Ilala kutoa leseni kwa mtandao

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala jana imezindua utumiaji mitandao katika utoaji wa leseni ya biashara. Meya wa Manispaa hiyo, Jerry Silaa, alizindua mtandao huo jana katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO KWA WAOMBAJI WA LESENI ZA UTAFUTAJI WA MADINI

Kamishna wa Madini anawataarifu wenye maombi ya leseni za utafutaji wa madini yaliyoainishwa kwenye jedwali hapa chini kufanya marekebisho ya maombi yao ndani ya siku thelathini (30) tangu tangazo hili kutolewa. Maombi ambayo yatakuwa hayajarekebishwa ndani ya kipindi kilichotajwa yatakataliwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini ya mwaka 2010.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani