Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lawanasa watu 11 wanaendesha utapeli kwa njia ya Mtandao
![](https://1.bp.blogspot.com/-MTy5keoRtuI/Xl4w9JwYKNI/AAAAAAALgrA/X3IicVJvfK8q9pUaGPPEvqQ_Q6pnNPr9ACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 11 kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Watuhumiwa hao walikuwa wakitumia majina ya watu katika akaunti zao kwa njia ya kujipatia fedha.
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ulrich Matei amesema kuwa watuhumiwa walikuwa wanajihusisha na wizi kwa kutumia majina ya viongozi na wasanii kwa kusambaza ujumbe wa kuomba fedha kwa watu wengine wenye mahusiano ya viongozi na wasanii.
Wanaoshikiliwa na Jeshi hilo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-hhCh5AnBuF8/VSfnbvE2LEI/AAAAAAAAaZg/1G7H6km5AZc/s72-c/1.jpg)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI NCHINI KUFUATIA UPOTOSHWAJI UNAOENEZWA KWA NJIA YA MTANDAO ILI KUWATIA WATU HOFU
![](http://2.bp.blogspot.com/-hhCh5AnBuF8/VSfnbvE2LEI/AAAAAAAAaZg/1G7H6km5AZc/s1600/1.jpg)
Katika siku za hivi karibuni kumeibuka tabia ya baadhi ya watu wachache wasiofahamika kutunga na kusambaza ujumbe kupitia simu za mikononi na mitandao mbalimbali ya kijamii wenye lengo la kuwatia hofu wananchi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Aidha, watu hao wanaosambaza taarifa hizo wanajifanya kwamba taarifa hizo zimetoka kwenye taasisi za kimataifa na taasisi zingine zinazoaminika jambo ambalo siyo kweli.
Jeshi la Polisi nchini linawataka wote wenye tabia hiyo kuacha mara moja na...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1IakUtC7aAc/VdOesSMNIuI/AAAAAAAHyD0/Ao_K4d4xP_o/s72-c/aaa.png)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-1IakUtC7aAc/VdOesSMNIuI/AAAAAAAHyD0/Ao_K4d4xP_o/s640/aaa.png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-E_TqgsZUVxA/VdOd8pH2pxI/AAAAAAAHyDo/ZHeA-B7qXco/s640/unnamed%2B%252841%2529.jpg)
KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tqQjhz9VL6w/VCUL9aYcpoI/AAAAAAAGl3E/x-FApij-H7Q/s72-c/Ahmed%2BMsangi-June4-2014.jpg)
JUST IN: TANGAZO LA USAILI WA JESHI LA POLISI KWA MKOA WA MBEYA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-tqQjhz9VL6w/VCUL9aYcpoI/AAAAAAAGl3E/x-FApij-H7Q/s1600/Ahmed%2BMsangi-June4-2014.jpg)
Muhimu:· Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili aje na vyeti vyake vyote vya masomo [(Academic...
11 years ago
Michuzi13 Feb
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU 08 RAIA WA NCHINI KONGO BAADA YA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI .
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU 08 WOTE RAIA NA WAKAZI WA SANGE – BUKAVU NCHINI KONGO WAKIONGOZWA NA HESABU LUHIGITA (16) BAADA YA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI. WATUHUMIWA HAO WALIKAMATWA MNAMO TAREHE 12.02.2014 MAJIRA YA SAA 13:00HRS MCHANA HUKO KATIKA KIJIJI CHA IKUMBILO WILAYA YA ILEJE WAKIWA WANASAFIRISHWA KWENYE GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.136 AQC AINA YA FUSO LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA MUSSA DISI (35) NA MATEO KADUMA (30) WOTE WAKAZI WA ISONGOLE AMBAO PIA...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ct4c3Jn4iuE/VjEnqDoxtuI/AAAAAAAIDTI/al0zu6g38qo/s72-c/pp.png)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI AREHE 28.10.2015.
![](http://3.bp.blogspot.com/-ct4c3Jn4iuE/VjEnqDoxtuI/AAAAAAAIDTI/al0zu6g38qo/s640/pp.png)
· JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU 38 KWA KUFANYA VURUGU NA UHARIBIFU WA MALI WILAYA YA MBOZI.
KATIKA TUKIO LA KWANZA:MNAMO TAREHE 25.10.2015 KUANZIA MAJIRA YA SAA 07:00 ASUBUHI HADI SAA 16:00 JIONI KULIFANYIKA UCHAGUZI MKUU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WABUNGE NA MADIWANI. KATIKA JIMBO LA RUNGWE, NDUGU SAUL H. AMON KWA...
11 years ago
Michuzi23 Feb