KOLETHA KILIO BAADA YA KUKOMBWA KILA KITU NA WEZI
Stori : Deogratius Mongela /Uwazi MUIGIZAJI wa filamu Bongo, Koletha Raymond ‘Coletha’ amejikuta akiwa hana kitu baada ya kukombwa shilingi milioni moja na nusu, nguo zake zaidi ya ishirini na vifaa vya kuchukulia video wakati wakiwa lokesheni maeneo ya Mtoni Kijichi, jijini Dar. Coletha Raymond ‘Koleta’. Akizungumza na Uwazi, Coletha alisema aliitwa lokesheni kucheza filamu ya Mkono wa Kushoto...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLEXCLUSIVE: BAADA YA HUKUMU, CHEKA AFUNGUKA KILA KITU
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Bajeti 2014/2015 imebana, kila kona kilio
9 years ago
Bongo Movies23 Nov
Dude Alizwa Kila Kitu
YAMEMKUTA! Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.
Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.
“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa...
11 years ago
GPLFLORA AKOMBA KILA KITU
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Ngeleja: Hatupingi kila kitu
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum, William Ngeleja, amesema hawapingi kila kitu kilichomo kwenye Rasimu iliyotolewa na Tume ya Mabiliko ya Katiba. Ngeleja, amewataka watanzania wasikubali kupotoshwa...
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Lissu: Wanaokubaliana kila kitu ni kondoo
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu, amesema katika mchakato wa kuandika Katiba ni lazima kuwa na mawazo yanayokinzana, kwa kuwa hiyo ndiyo demokrasia. Lissu ambaye pia ni Mbunge...
10 years ago
Mwananchi20 Jul
Kenya sasa kila kitu ni Obama
10 years ago
GPLJOHARI: RAY NI KILA KITU KWANGU!
11 years ago
GPLHAWEZI KUKUFANYIA KILA KITU, RIDHIKA!