Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya sasa kila kitu ni Obama

>Kenya iko katika maandalizi ya mwisho kufanikisha ziara ya Rais wa Marekani, Barack Obama anayetarajiwa kuwasili nchini humo mwishoni mwa mwezi huu. Maandalizi yamekuwa yakishuhudiwa katika maeneo mbalimbali ikiwamo kwenye mji mkuu, Nairobi ambako pia hali ya ulinzi imeimarishwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kila kitu kijijini humu ni cha Obama: Wapi ?

Kijiji cha Kogelo Magharibi mwa Kenya, bado kinamatarajio makubwa miongoni mwa wenyeji wake kuwa rais Obama ataenda huko.

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA SASA KILA KITU NI MAMA YAKE

Stori: Laurent Samatta    
HATIMAYE diva wa filamu Bongo, Rose Ndauka ametoa kali ya mwaka kwa kudai kuwa baada ya kutengana na mzazi mwezake sasa hapati tabu tena kwani mama yake mzazi amechukua nafasi hiyo na anampa mapenzi ya dhati ambayo hajawahi kupewa na mwanaume yeyote. Diva wa filamu Bongo, Rose Ndauka. Akizungumza na Uwazi, Rose alisema pamoja na kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu lakini hakuwahi kupata...

 

10 years ago

GPL

RAY: CHUCHU SASA NDO’ KILA KITU KWANGU

Stori: Musa Mateja
LEGENDARY kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa, Chuchu Hans ndiye kila kitu na kilichobaki ni ndoa tu. Legendary kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans.
Akizungumza na paparazi wetu, Ray alisema licha ya kupitia katika changamoto nyingi za mapenzi lakini kwa Chuchu...

 

9 years ago

Bongo5

Cyrill adai video na ngoma kali sio kila kitu kwa muziki wa sasa

kamikaze

Staa wa muziki Cyrill Kamikaze, amesema muziki wa sasa sio tu kufanya video kali na ngoma kali ili uweze kutoboa, bali unahitaji kutumia ubunifu zaidi kukidhi viwango vyenye ubora na kufikia soko la kimataifa.

kamikaze

Rapper huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Afica Radio kuwa watu wengi wanafikiri ukiwa na video nzuri ndio unafanikiwa.

“Unaweza ukawa na video kali halafu usihit, muziki ni zaidi ya chupa kali, ukirudishwa miaka fulani nyuma, ngoma kali ndio ilikuwa inahit, lakini sasa...

 

10 years ago

Vijimambo

DR. SLAA AIBUKA NA KUSEMA ATAWEKA KILA KITU HADHARANI MUDA WOTE KUANZIA SASA

Wakati kukiwa na hali ya sintofahamu kuhusu msimamo halisi wa kisiasa wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa, mwenyewe ameibuka na kusema ataweka kila kitu hadharani muda wowote kuanzia sasa.

Katika siku za karibuni, Dk. Slaa amekuwa gumzo kutokana na kutoonekana katika shughuli mbalimbali za chama hicho pamoja na mikutano muhimu inayoitishwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Akizungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana, Dk....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Hatupingi kila kitu

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum, William Ngeleja, amesema hawapingi kila kitu kilichomo kwenye Rasimu iliyotolewa na Tume ya Mabiliko ya Katiba. Ngeleja, amewataka watanzania wasikubali kupotoshwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Dude Alizwa Kila Kitu

YAMEMKUTA! Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.

Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.

“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa...

 

11 years ago

GPL

FLORA AKOMBA KILA KITU

Stori: Waandishi Wetu MACHOZI upya! Habari halali kwa ubongo wako zinaeleza kwamba wakati mumewe, Emmanuel Mbasha (32) alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani kuvipeleka kusikojulikana. Sehemu ya chumba cha kupumzikia kilichobakiwa na kochi na… ...

 

11 years ago

GPL

HAWEZI KUKUFANYIA KILA KITU, RIDHIKA!

NYAKATI za mwanzo wa uhusiano, huba na kila aina ya manjonjo kwenye mapenzi hutawala. Huwa na vitu vingi sana vya kuvutia, visivyochosha. Ni rahisi kuwasikia wenzi wakilaumiana kwa kutokuamshana asubuhi! Yeah! Ni mambo ya mwanzo hayo. Ni ukweli ulio wazi kuwa, katika siku za mwanzo za wapenzi kukutana na kufahamiana, kila mmoja huwa makini kuhakikisha hamuudhi mwenzake. Kila kitu hufanyika kwa umakini huku akizingatia kuwa kuna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani