Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA AWACHARUKIA WASANII WENYE MAJUNGU

Stori: Mayasa Mariwata MADAMUUU! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amecharuka na kudai anachukizwa kwa kiasi kikubwa na wasanii ambao wanapenda kumfanyia majungu kutokana na chuki zao binafsi. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Akipiga stori na paparazi wetu, Madam alisema anajua wapo wengi wanaomchukia kutokana na sababu zisizo za msingi kwa kudai kuwa anaringa na vyovyote vile...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje

Wewe ni msanii mwenye mawazo ya kuja kufanya collabo na wasanii wa nje ya Tanzania? AY ametoa elimu ndogo kupitia uzoefu wake, wa nini cha kufanya ili collabo yako iwe na maana na ikuletee matunda. “Cha kwanza watu wajue lazima uje na style yako usikae kama wanna be” AY a.k.a ‘mzee wa Zigo’ ameiambia 255 […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Wasanii Watakiwa Kukumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum

Afisa Habari wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Aristides Kwizela (Kushoto) akifuatilia burudani zilizokuwa zikitolewa na watoto wanaondaliwa na Baraza hilo kupitia programu ya ‘Sanaa kwa Watoto’ wakati wakitumbuiza kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA mapema wiki hii. Watoto hao wanatoka shule ya Msingi ya Msimbazi iliyoko Ilala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Msanii wa filamu Honeymoon Mohamed na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Stadi za wasanii Bi. Vick Temu.

Katibu Mtendaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WATAKIWA KUWAKUMBUKA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

Na Mwandishi Wetu
Wasanii nchini wametakiwa kurejesha kwa jamii sehemu ya faida wanayoipata kupitia kazi zao za Sanaa kwa kuwakumbuka watoto wenye mahitaji maalum ili kujijengea mtandao wa kudumu wa masoko, uhalali na taswira nzuri kwa jamii.
Wito huo umetolewa mapema wiki hii na mtengeneza filamu wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Marekani Bi. Honeymoon Mohamed wakati akiwasilisha mada kuhusu Filamu za Kitanzania na Masoko kwenye programu ya Jukwaa la Sanaa inayoandaliwa na Baraza la Sanaa...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii, wachezaji Simba kukutana na wenye ‘sickle cell’ leo

WEMA SEPETU009NA ELLY MHAGAMA (TUDARCO)

WASANII wa fani mbalimbali, wachezaji wa soka Ligi Kuu Tanzania Bara na wadau wa afya leo wanaungana katika bonanza la kuadhimisha mwezi wa kuongeza uelewa juu ya ugonjwa wa upungufu wa damu (sickle cell).

Wasanii watakaokuwepo katika bonanza hilo ni Wema Sepetu, Banana Zorro, Barnaba, Mwana Fa, Vyone Cherry (Monalisa).

Wengine ni mshindi wa tuzo mbili za ZIFF, Honeymoon Mohammed, Miss Tanzania mwaka 1998, Basila Mwanukuzi na kwa upande wa soka watakuwepo baadhi ya...

 

10 years ago

Bongo5

Mitandao ya kijamii ni mtaji wenye thamani kubwa kwa wasanii na mastaa

Miaka mitano iliyopita, ili msanii afikishe ujumbe kwa mashabiki wake, ilimlazimu kuhojiwa kwanza kwenye vyombo vya habari. Redio, TV na magazeti ndio zilikuwa njia pekee za kufikisha ujumbe wao. Lakini sasa mambo yamebadilika kabisa. Uamuzi wa kusambaza ujumbe wa msanii kwa umma upo kwenye kiganja chake mwenyewe. Kuanzishwa na kukua kwa mitandao ya kijamii, kumerahisisha […]

 

9 years ago

Bongo5

Ray: Uchaguzi umenifanya niwajue wasanii wenye akili na wasiokuwa nazo

Muigizaji wa filamu, Vicent Kigosi maarufu kama Ray amesema kupitia uchaguzi mwak mwaka huu ameweza kuwafahamu wasanii mwenye akili na wasiokuwa nazo. Ray kupitia ukurasa wake wa Instagram muigizaji huyo aliandika: FREEDOM OF SPEECH Kuna vitu vingi sana nimegundua kwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili […]

 

10 years ago

Bongo5

Stamina adai wasanii wengi wa filamu wanauza sura, wenye vipaji wachache

Rapper Stamina anaamini kuwa tasnia ya filamu nchini inashindwa kwenda mbele zaidi kutokana na waigizaji wengi kutokuwa na vipaji bali wanatafuta umaarufu na pesa. Stamina amesema anashindwa kukaa na kuangalia filamu za siku hizi kwakuwa zimekosa waigizaji mahiri. “Unajua kuangalia filamu kuna raha yake kama utakuta waigizaji ambao wanajua kazi yao. Sio o hawa wanaotafuta […]

 

9 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto aja na ‘Kutoka Shambani’, anatafuta wasanii watatu wenye vipaji

Msanii wa muziki wa asili na mtunzi wa mashairi, Mrisho Mpoto ameanzisha kijiji kiitwacho ‘Kutoka Shambani’ ambacho kitawakutanisha vijana wenye fani mbalimbali hapa nchini. Mpoto ameiambia Bongo5 kuwa vijana wenye vipaji mbalimbali na watakaokubali kushiriki watalazimika kukaa miaka 2 kwenye kijiji hicho bila kutumia simu. “Nilichokifanya nimetafuta heka 20 ambazo zipo, nachofanya nataka nichukue wasani […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani