Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii, wachezaji Simba kukutana na wenye ‘sickle cell’ leo

WEMA SEPETU009NA ELLY MHAGAMA (TUDARCO)

WASANII wa fani mbalimbali, wachezaji wa soka Ligi Kuu Tanzania Bara na wadau wa afya leo wanaungana katika bonanza la kuadhimisha mwezi wa kuongeza uelewa juu ya ugonjwa wa upungufu wa damu (sickle cell).

Wasanii watakaokuwepo katika bonanza hilo ni Wema Sepetu, Banana Zorro, Barnaba, Mwana Fa, Vyone Cherry (Monalisa).

Wengine ni mshindi wa tuzo mbili za ZIFF, Honeymoon Mohammed, Miss Tanzania mwaka 1998, Basila Mwanukuzi na kwa upande wa soka watakuwepo baadhi ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

My journey with sickle cell disease

At the age of 8, Arafa Salim had already made frequent visits to the hospital. At such a tender age, she didn’t understand why she had to visit the hospital so many times. Out of curiosity, she decided to ask her parents.

 

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania na ugonjwa wa Sickle Cell.

Tanzania ni nchi ya tano Duniani kwa kuwa na watu wenye ugonjwa wa Sickle Cell.

 

11 years ago

TheCitizen

11,000 babies born with sickle cell

>The Women and Development Foundation (Wama) has called upon health stakeholders to support ongoing efforts to fight against Sickle Cell Disease (SCD) because it has reached an alarming stage. Latest reports show that every year 11,000 babies are born with the disease in the country.

 

9 years ago

Mtanzania

Monalisa: Tuandae filamu zinazohamasisha ‘sickle cell’

monalisaELLY MHAGAMA (TUDARCO) NA GRACE KASONDE (SJMC)

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ ameomba wasanii wenzake wawe na utamaduni wa kuandaa filamu zitakazohamasisha Watanzania kuhusu ugonjwa wa upungufu wa damu (sickle cell).

Monalisa alitoa hamasa hiyo jana, katika uzinduzi wa bonanza kuhusu ugonjwa huo lililofanyika Upanga, jijini Dar es Salaam.

“Mimi binafsi nitakuwa balozi wa kuelimisha wasanii wenzangu kuhusu ugonjwa huo na pia naweza kufanya filamu ya hamasa kuhusu ugonjwa...

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii wa Bongo kukutana Dar leo

20160104202229

Wasanii wa Tanzania Jumanne hii wanakutana jijini Dar es Salaam kuzungumza masuala mbalimbali kuhusu mustakabali wa tasnia yao.

20160104202229

Mkutano huu utafanyika kwenye ukumbi wa Little Theater uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Wasanii wote wamealikwa kushiriki.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

WACHEZAJI WA SIMBA JANA WAKIWA MAZOEZINI KUJIANDAA NA MCHEZO WA LEO

Mshambuliaji wa Simba, Elias Maguri mwenye mpira  akijaribu kumtoka Winga, Emmanuel Okwi katika mazoezi yaliyofanyika jana kwenye uwanja wa Boko Veterani. Mshambuliaji mpya wa simba, Emmanuel Okwi akikokota mpira.…

 

10 years ago

Bongo5

AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje

Wewe ni msanii mwenye mawazo ya kuja kufanya collabo na wasanii wa nje ya Tanzania? AY ametoa elimu ndogo kupitia uzoefu wake, wa nini cha kufanya ili collabo yako iwe na maana na ikuletee matunda. “Cha kwanza watu wajue lazima uje na style yako usikae kama wanna be” AY a.k.a ‘mzee wa Zigo’ ameiambia 255 […]

 

5 years ago

Michuzi

Mawaziri wenye dhamana ya Manejimentiya Maafa wa SADC kukutana Zanzibar

Na Daudi Manongi, MAELEZO

Mkutano wa kwanza wa kamati ya Mawaziri wanaohusika na Menejimenti ya Maafa kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utafanyika tarehe 18-21 Februari visiwani Zanzibar, 2020 ukiwa na lengo la kuchochea juhudi zilizopo katika kupunguza madhara ya maafa ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar, Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein.

Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makonda kukutana na wananchi wa Kinondoni wenye migogoro ya ardhi kila Ijumaa

IMG_8530

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na vyombo vya habari (havipo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

*Aunda kamati ya kushushughulikia Migogoro ya Ardhi Kinondoni

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto migogoro ya ardhi ambayo inatakiwa kila mtu ambaye amenyimwa haki ya ardhi watapata kutokana na utaratibu uliopo.

Makonda aliyasema hayo hivi karibuni wakati ziara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani