Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri wenye dhamana ya Manejimentiya Maafa wa SADC kukutana Zanzibar

Na Daudi Manongi, MAELEZO

Mkutano wa kwanza wa kamati ya Mawaziri wanaohusika na Menejimenti ya Maafa kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utafanyika tarehe 18-21 Februari visiwani Zanzibar, 2020 ukiwa na lengo la kuchochea juhudi zilizopo katika kupunguza madhara ya maafa ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar, Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein.

Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAWAZIRI WENYE DHAMANA YA MENEJIMENTI YA MAAFA KWA NCHI ZA SADC KUKUTANA ZANZIBAR


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa kwanza wa Kamati ya Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Menejimenti ya  Maafa kwa Nchi Wanachama  Jumuiya ya MaendeIeo Kusini mwa Afrika, tarehe 16 Februari, 2020, Ukumbi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Mnazi mmoja.Mkurugenzi Mtendaji wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa, Zanzibar, Makame Khatibu Makame akitoa Ufafanuzi kwa Waandishi...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA MAWAZIRI WENYE DHAMANA YA MANEJIMENTI YA MAAFA KWA NCHI WANACHAMA WA SADC

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoka katika ukumbi wa mkutano wa hoteli ya Madinat Al Bahr mbweni Jijini Zanzibar, baada ya kuufungua mkutano huo, (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi , Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji SADC.Dkt. Stergomena Lawrence Tax.(Picha na Ikulu).WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA MAAFA WA SADC KUFANYIKA ZANZIBAR


Na Khadija Khamis Maelezo Zanzibar .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed amesema Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Kukabiliana na Maafa wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unatarajiwa kufanyika Zanzibar katika Hoteli ya Madinat al Bahr  Februari 18,2020.

Hayo ameyasema huko katika Ukumbi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ( ZBC. TV) Mnazimmoja wakati akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali...

 

5 years ago

Michuzi

MAWAZIRI WA SADC SEKTA YA KAZI NA AJIRA KUKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa SADC sekta ya Kazi na Ajira utakaofanyika tarehe 2 – 6 Machi, 2020 Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Ajira na Ukuzaji Ujuzi Bw. Robert Masingiri (kulia) ni Mratibu wa Kamati ya Habari – Maelezo Bw. Jonas Kamaleki. Baadhi ya Waandishi wa Habari ...

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri SADC kujadili Ebola

MAWAZIRI wa Afya na wadau wengine wa afya wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi zilizo Kusini mwa Afrika (SADC), leo wanakutana kwenye mkutano wa dharura kuzungumzia hatua za kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano wa Mawaziri wa SADC Waanza jijini Harare

Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe, Mhe, Simbarashe Mumbengegwi akifungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) unaojadili Mkakati na Mwongozo wa kuelekea Maendeleo ya Viwanda katika Kanda ya SADC. Mhe. Mumbengegwi amefungua mkutano huo jijini Harare, Zimbabwe  huku akiwa na huzuni kubwa kufuatia taarifa ya kifo cha Bregedia Jenereli Hashim Mbita ambaye alitoa mchango mkubwa katika ukombozi  wa nchi za Kusini mwa Afrika. Mhe. Mumbengegwi...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC,DKT.TAX IKULU,ZANZIBAR





RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kuonana na kufanya mazungumzo leo 21-2-2020.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC waendelea nchini Malawi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa SADC, Mhe. Ephraim Chiume (kushoto) akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC ulioanza jana tarehe 10 Machi, 2014 jijini Lilongwe, Malawi. Mhe. Chiume akiendelea na hotuba ya ufunguzi, kushoto ni Katibu Mtendaji wa SADC, Mhe. Stergomena Tax Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum (Mb) mwenye ushungi. Waziri wa Nchi wa Serikali ya Zanzibar anayeshughulikia masuala ya Utawala Bora,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani