MAWAZIRI WA SADC SEKTA YA KAZI NA AJIRA KUKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa SADC sekta ya Kazi na Ajira utakaofanyika tarehe 2 – 6 Machi, 2020 Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Ajira na Ukuzaji Ujuzi Bw. Robert Masingiri (kulia) ni Mratibu wa Kamati ya Habari – Maelezo Bw. Jonas Kamaleki.
Baadhi ya Waandishi wa Habari ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC WA SEKTA YA AJIRA NA KAZI KUANZA DAR
Tanzania inatakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Sekta ya Ajira na Kazi kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaotarajiwa kufanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 2 hadi 6 Machi 2020.
Mkutano huu ambao utafunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, umebeba kaulimbiu isemayo “Kukuza Soko la Ajira na Mahusiano Mema Sehemu...
5 years ago
Michuzi
MAWAZIRI NA WADAU WA UTATU WA SADC SEKTA YA KAZI NA AJIRA WAPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA KWA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA TAIFA YA UKUZAJI UJUZI KWA VIJANA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kulia) akizungumza na Mawaziri na Wadau wa Utatu wa SADC sekta ya Kazi na Ajira walipotembelea eneo la Kaole, Wilaya ya Bagamoyo.

5 years ago
Michuzi
Pro. Kabudi Afungua Mkutano wa Braza la Mawaziri SADC jijini Dar es Salaam


5 years ago
Michuzi
MKUTANO WA MAWAZIRI WA KAMATI YA SADC YA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA (TROIKA) WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (katikati), kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nchi George Simbachawene na mwisho kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi, Dkt. Faraji Mnyepe wakifuatilia mkutano kwa njia ya video conference, Jijini Dar es salaam.

Mawaziri pamoja na baadhi ya Makatibu Wakuu/Maafisa waandamizi kutoka Tanzania wakifuatilia mkutano kwa njia ya Video Conference, jijini Dar es Salaam

Mkutano ukiendelea ...
5 years ago
Michuzi
MKUTANO WA MAWAZIRI WA KAMATI YA SADC YA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA KWA NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


Washiriki wakifuatilia mkutano kwa njia ya Video Conference jijini Dar es Salaam

Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na baadhi ya...
5 years ago
Michuzi
MATUKIO KATIKA PICHA: MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU, MAAFISA WAANDAMIZI NA WADAU WA UTATU WA SADC SEKTA YA KAZI NA AJIRA

5 years ago
Michuzi
Mawaziri wenye dhamana ya Manejimentiya Maafa wa SADC kukutana Zanzibar

Mkutano wa kwanza wa kamati ya Mawaziri wanaohusika na Menejimenti ya Maafa kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utafanyika tarehe 18-21 Februari visiwani Zanzibar, 2020 ukiwa na lengo la kuchochea juhudi zilizopo katika kupunguza madhara ya maafa ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar, Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista...
5 years ago
Michuzi
MAWAZIRI WENYE DHAMANA YA MENEJIMENTI YA MAAFA KWA NCHI ZA SADC KUKUTANA ZANZIBAR


10 years ago
GPL
MARAIS WA NCHI 6 ZA AFRIKA KUKUTANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM