Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA MAWAZIRI WA KAMATI YA SADC YA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA KWA NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge (katikati), kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi, Dkt. Faraji Mnyepe , mwisho kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Christopher Kadio wakifuatilia mkutano huo kwa njia ya video conference, Jijini Dar es salaam
Washiriki wakifuatilia mkutano kwa njia ya Video Conference jijini Dar es Salaam

Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na baadhi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MAWAZIRI WA KAMATI YA SADC YA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA (TROIKA) WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (katikati), kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nchi George Simbachawene na mwisho kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi, Dkt. Faraji Mnyepe wakifuatilia mkutano kwa njia ya video conference, Jijini Dar es salaam.

Mawaziri pamoja na baadhi ya Makatibu Wakuu/Maafisa waandamizi kutoka Tanzania wakifuatilia mkutano kwa njia ya Video Conference, jijini Dar es Salaam

Mkutano ukiendelea ...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAANZA

MKUTANO wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya yaMaendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umefanyika leo jijini Dar es Salaam kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)  Mkutano huo umefunguliwa na
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Maafisa Waandamizi/ Makatibu Wakuu, Balozi Kanali Wilbert Ibuge Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Wajumbe wengine ni waliohudhuria ni Katibu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,...

 

9 years ago

CCM Blog

BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA RASMI SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam


Baadhi ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI,WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo Ikulu jijini Dar es salaam Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera leo Ikulu jijini Dar es salaam.…

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA JUMUIYA YA MADOLA WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

1Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afraik jana (Jumatatu Julai 13, 2015) Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku 3 unatarajia kufungwa Jumatano Julai 15, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Celina Kombani na Naibu Katibu Mkuu wa Jumiya hiyo, Bi. Josephine Ojiambo. 2Naibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof....

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUTOKA NCHI ZA KAMATI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais –Mazingira Mh. Dk. Eng. Binilith Satano Mahenge, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere Tarehe 29 Agosti 2014.… ...

 

5 years ago

Michuzi

Pro. Kabudi Afungua Mkutano wa Braza la Mawaziri SADC jijini Dar es Salaam


Waziri wa Mamb ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na waandishi wa habari (hawaako pichani), kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge baada ya kumaliza kwa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (JNICC) jijini Dar es SalaamMkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia ya video...

 

9 years ago

Michuzi

NRWS ALERT: RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ATEUA MAKATIBU WAKUU, MANAIBU MAKATIBU WAKUU NA KAIMU NAIBU KAMISHNA TRA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam jioni ya leo December 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kumkabidhi  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue orodha ya Makatibu na Manaibu Katibu Wakuu aliowateua huku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani