Wasanii wa Bongo kukutana Dar leo
Wasanii wa Tanzania Jumanne hii wanakutana jijini Dar es Salaam kuzungumza masuala mbalimbali kuhusu mustakabali wa tasnia yao.
Mkutano huu utafanyika kwenye ukumbi wa Little Theater uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Wasanii wote wamealikwa kushiriki.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Wasanii, wachezaji Simba kukutana na wenye ‘sickle cell’ leo
NA ELLY MHAGAMA (TUDARCO)
WASANII wa fani mbalimbali, wachezaji wa soka Ligi Kuu Tanzania Bara na wadau wa afya leo wanaungana katika bonanza la kuadhimisha mwezi wa kuongeza uelewa juu ya ugonjwa wa upungufu wa damu (sickle cell).
Wasanii watakaokuwepo katika bonanza hilo ni Wema Sepetu, Banana Zorro, Barnaba, Mwana Fa, Vyone Cherry (Monalisa).
Wengine ni mshindi wa tuzo mbili za ZIFF, Honeymoon Mohammed, Miss Tanzania mwaka 1998, Basila Mwanukuzi na kwa upande wa soka watakuwepo baadhi ya...
11 years ago
Dewji Blog29 Jul
Msanii wa Bongo Movie Ester Kiama afuturisha wasanii wenzake jijini Dar
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi ambaye alishatangulia mbele ya haki. Akitoa shukrani zake kwa waalikwa, alisema ameona vyema kuandaa chakula cha pamoja ili waweze kumuenzi mama yao mzazi kwa vile alipenda sana watu hasa kukutana na kupata chakula pamoja.
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama akiendelea kutoa shukrani zake za pekee.
Mjomba wa Msanii...
10 years ago
GPLMARAIS WA NCHI 6 ZA AFRIKA KUKUTANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Bongo520 Oct
Alichokisema Mwana FA baada ya kile alichokiona kwenye Fiesta Dar kuhusu wasanii wa Bongo
10 years ago
VijimamboBLOGGERS KUKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO KATIKA PATI YA KIHISTORIA
10 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA