Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii wa Bongo Movie Ester Kiama afuturisha wasanii wenzake jijini Dar

Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi ambaye alishatangulia mbele ya haki. Akitoa shukrani zake kwa waalikwa, alisema ameona vyema kuandaa chakula cha pamoja ili waweze kumuenzi mama yao mzazi kwa vile alipenda sana watu hasa kukutana na kupata chakula pamoja.

Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama akiendelea kutoa shukrani zake za pekee.

IMG_2930

 Mjomba wa Msanii...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAJIRI DAVIS MOSHA AFUTURISHA WASANII WA BONGO MOVIES

  Baadhi ya wasanii wa bongo movies wakifuturu.    Wasanii wakifuturu upande wa wanaume.    Davis Mosha akiongea na wasanii wa bongo movie juu ya ujio mpya wa Swahili Media mara…

 

11 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi,Abdallah Bulembo (katikati) akiwasili katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuungana na wasanii kwenye dua maalum ya kuwaombea wasanii waliotangulia mbele ya haki.Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity,Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere.Msanii wa vichekesho ambaye pia ni muinjilisti kwa sasa Emanuel Mgaya Maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiongoza dua kwa upande wa wakristo huku Msanii Jacob Stephen JB akiwa ameishikilia...

 

5 years ago

Bongo5

Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili

Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva

Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu  wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao

“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni  mbali  hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MOVIE...

Stori: Gladness Mallya
MSANII chipukizi wa filamu wa Kundi la Mwamba Arts, Mariam Glant (20) amenusurika kifo baada ya kunywa sumu kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la kijana aliyejifanya mdogo wa Kanumba anayejulikana kwa jina moja la Chief. Msanii chipukizi wa filamu wa Kundi la Mwamba Arts, Mariam Glant. Akizungumza na paparazi wetu sosi wa karibu na msanii huyo alisema siku ya tukio, Mariam alikuwa nyumbani kwa rafiki yake wa...

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MOVIE ATIA KINYAA

Stori: Mayasa Mariwata
AIBU! Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ aliyewahi kuripotiwa kujiachia kimalovee na mwanamuziki Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ametia aibu kubwa baada ya picha zake za utupu kuzagaa mitandaoni. Pichani ni msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ katika pozi tofauti.
Kutokana na picha hizo ambazo zimeonekana kuzagaa katika mitandao mbalimbali na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msanii mwingine Bongo Movie afariki dunia

IKIWA zimepita siku chache tangu msiba wa mwigizaji na muongozaji filamu za Kibongo, Adam Kuambiana, mwigizaji mwingine, Rachel Haule ‘Recho’, amefariki dunia jana asubuhi. Inaelezwa kifo cha Recho kimesababishwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani