Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makonda kukutana na wananchi wa Kinondoni wenye migogoro ya ardhi kila Ijumaa

IMG_8530

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na vyombo vya habari (havipo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

*Aunda kamati ya kushushughulikia Migogoro ya Ardhi Kinondoni

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto migogoro ya ardhi ambayo inatakiwa kila mtu ambaye amenyimwa haki ya ardhi watapata kutokana na utaratibu uliopo.

Makonda aliyasema hayo hivi karibuni wakati ziara ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

PAUL MAKONDA AUNDA KAMATI YA KUSHUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA ARDHI KINONDONI


Mh. Paul Makonda
Mkuu wa Wilaya la KinondoniMkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto migogoro ya ardhi ambayo inatakiwa kila mtu ambaye amenyimwa haki ya ardhi watapata kutokana na utaratibu uliopo.
Makonda aliyasema hayo hivi karibuni wakati ziara ya kutembelea wilaya hiyo, Makonda alisema asili ya migogoro hii inatokana hasa na mgongano wa uhalali wa umiliki pamoja na uvamizi wa maeneo ya wazi yaliyotengwa maalumu kwa shughuli za...

 

10 years ago

Michuzi

MAKONDA AIENDELEA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA WILAYA YAKE SAFARI HII NI KATA YA WAZO

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwahutubia wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa Juu iliyopo uliopo Kata ya Wazo Dar es Salaam jana, alipofika kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu muda mrefu.
 DC Makonda akizungumza na viongozi wa Manispaa ya Kinondoni na wakata ya Wazo kuhusu mgogoro huo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

DC MAKONDA AIENDELEA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA WILAYA YAKE SAFARI HII NI KATA YA WAZO


 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwahutubia wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa Juu iliyopo uliopo Kata ya Wazo Dar es Salaam jana, alipofika kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu muda mrefu.  DC Makonda akizungumza na viongozi wa Manispaa ya Kinondoni na wakata ya Wazo kuhusu mgogoro huo.  DC Makonda akisaini kwenye kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Mtaa wa Kilimahewa Juu uliopo Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam kuzungumza na wananchi kuhusu mgogoro huo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Makonda aendelea kutatua migogoro ya ardhi katika wilaya yake safari hii ni kata ya Wazo

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwahutubia wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa Juu iliyopo uliopo Kata ya Wazo Dar es Salaam jana, alipofika kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu muda mrefu.

DC Makonda akizungumza na viongozi wa Manispaa ya Kinondoni na wakata ya Wazo kuhusu mgogoro huo.

  DC Makonda akisaini kwenye kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Mtaa wa Kilimahewa Juu uliopo Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam kuzungumza na wananchi kuhusu mgogoro huo. Kulia ni Ofisa...

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONGOLO AWATAKA WAJUMBE MABARAZA YA KATA MANISPAA YA KINONDONI KUSIMAMIA SHERIA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na wajumbe wa Mabaraza ya Kata ya Halmashauri hiyo jana wakati wa kikao cha kujadili changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo. Wa kwanza kushito ni Katibu Tawala Bi. Stella Msofe.Wajumbe wa Mabaraza ya Kata wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mhe. Daniel Chongolo.Wajumbe wa Mabaraza ya Kata ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakiwa kwenye kikao.………………………………………………………………… Wajumbe wa Mabaraza ya Kata Manispaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Shivji: Migogoro ya ardhi ni adui wa maendeleo ya wananchi

Kwa muda mrefu, Serikali imekuwa ikianzisha mipango, sera, miradi na mikakati mbalimbali yenye lengo kuinua uchumi nchini.

 

10 years ago

Michuzi

MAKONDA AKUTANA NA WANANCHI WA KAWE MZIMUNI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wananchi wa Kawe Mzimuni alipofika kutatua mgogoro wa ardhi kati yao na taasisi moja ya kiislamu inayomiliki Shule ya Sekondari ya Seminari ya Qiblatain D $B iliyopo eneo hilo Dar es Salaam leo asubuhi. Katibu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa eneo hilo Mgili Wambura alimwambia DC Makonda kuwa eneo hilo tangu zamani ilikuwa ni barabara hivyo wanashangaa kuvamiwa hivyo alimuomba Makonda kusaidia kuondoa mvutano...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI DAR WAITIKIA AGIZO LA MAKONDA...BARAKOA KILA MAHALI


Na Said Mwishehe, Michuzi TV.

WAKAZI wa Jiji la Dar es  Salaam wameitikia mwito wa Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda wa kuvaa barakoa kama hatua mojawapo ya kukabiliana na virusi vya Corona.

Juzi Makonda alitangaza kwamba kuanzia Jumatatu (leo) wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam watatakiwa kuvaa barakoa na kwamba kwa wale ambao watakaidi hatua za kisheria zitachukuliwa.Hata hivyo asilimia kubwa ya wananchi wameitikia mwito huo kwani kila kona ya Jiji hilo wamevaa barakoa.

Michuzi TV na Michuzi Blog...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani