MAKONDA AKUTANA NA WANANCHI WA KAWE MZIMUNI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wananchi wa Kawe Mzimuni alipofika kutatua mgogoro wa ardhi kati yao na taasisi moja ya kiislamu inayomiliki Shule ya Sekondari ya Seminari ya Qiblatain D $B iliyopo eneo hilo Dar es Salaam leo asubuhi.
Katibu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa eneo hilo Mgili Wambura alimwambia DC Makonda kuwa eneo hilo tangu zamani ilikuwa ni barabara hivyo wanashangaa kuvamiwa hivyo alimuomba Makonda kusaidia kuondoa mvutano...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDC KINONDONI AKUTANA NA WANANCHI KAWE MZIMUNI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AKUTANA NA WANA UMOJA WA MAFUNDI MAGARI TEGETA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI DHIDI YA MWEKEZAJIâ€
10 years ago
GPLMKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AKUTANA NA WANA UMOJA WA MAFUNDI MAGARI TEGETA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI DHIDI YA MWEKEZAJI
10 years ago
GPLMAKONDA AKUTANA NA VIJANA KUTATUA TATIZO LA AJIRA
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
DC Makonda aendelea kutatua migogoro ya ardhi katika wilaya yake safari hii ni kata ya Wazo
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwahutubia wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa Juu iliyopo uliopo Kata ya Wazo Dar es Salaam jana, alipofika kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu muda mrefu.
DC Makonda akizungumza na viongozi wa Manispaa ya Kinondoni na wakata ya Wazo kuhusu mgogoro huo.
DC Makonda akisaini kwenye kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Mtaa wa Kilimahewa Juu uliopo Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam kuzungumza na wananchi kuhusu mgogoro huo. Kulia ni Ofisa...
10 years ago
VijimamboDC MAKONDA AIENDELEA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA WILAYA YAKE SAFARI HII NI KATA YA WAZO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwahutubia wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa Juu iliyopo uliopo Kata ya Wazo Dar es Salaam jana, alipofika kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu muda mrefu.
10 years ago
MichuziMAKONDA AIENDELEA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA WILAYA YAKE SAFARI HII NI KATA YA WAZO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
Makonda kukutana na wananchi wa Kinondoni wenye migogoro ya ardhi kila Ijumaa
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na vyombo vya habari (havipo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
*Aunda kamati ya kushushughulikia Migogoro ya Ardhi Kinondoni
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto migogoro ya ardhi ambayo inatakiwa kila mtu ambaye amenyimwa haki ya ardhi watapata kutokana na utaratibu uliopo.
Makonda aliyasema hayo hivi karibuni wakati ziara ya...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10