DC CHONGOLO AWATAKA WAJUMBE MABARAZA YA KATA MANISPAA YA KINONDONI KUSIMAMIA SHERIA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-owg8IX5lSyw/XuN5MAfuC5I/AAAAAAALtk4/e8Pdax4BZnAMbTvBWg3vvtXlqSFmv3mwQCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_7847AAA-768x512.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na wajumbe wa Mabaraza ya Kata ya Halmashauri hiyo jana wakati wa kikao cha kujadili changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo. Wa kwanza kushito ni Katibu Tawala Bi. Stella Msofe.Wajumbe wa Mabaraza ya Kata wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mhe. Daniel Chongolo.
Wajumbe wa Mabaraza ya Kata ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakiwa kwenye kikao.………………………………………………………………… Wajumbe wa Mabaraza ya Kata Manispaa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDC MAKONDA AIENDELEA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA WILAYA YAKE SAFARI HII NI KATA YA WAZO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwahutubia wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa Juu iliyopo uliopo Kata ya Wazo Dar es Salaam jana, alipofika kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu muda mrefu.
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
DC Makonda aendelea kutatua migogoro ya ardhi katika wilaya yake safari hii ni kata ya Wazo
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwahutubia wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa Juu iliyopo uliopo Kata ya Wazo Dar es Salaam jana, alipofika kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu muda mrefu.
DC Makonda akizungumza na viongozi wa Manispaa ya Kinondoni na wakata ya Wazo kuhusu mgogoro huo.
DC Makonda akisaini kwenye kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Mtaa wa Kilimahewa Juu uliopo Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam kuzungumza na wananchi kuhusu mgogoro huo. Kulia ni Ofisa...
10 years ago
MichuziMAKONDA AIENDELEA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA WILAYA YAKE SAFARI HII NI KATA YA WAZO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
...
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Usuluhishi wa mgogoro wa ardhi kwenye mabaraza ya kata
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
‘Serikali irekebishe sheria mabaraza ya kata’
SERIKALI imeombwa kuifanya marekebisho sheria ya mabaraza ya kata ya mwaka 1985, kutokana na kuwepo kwa changamoto wakati wa kutoa usuluhishi. Akizungumza na Tanzania Daima mwishoni mwa wiki baada ya mafunzo ya sheria...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Sheria mabaraza ya kata zachochea uhalifu
SHERIA ya mabaraza ya kata ya mwaka 1985, imekua mwiba katika maeneo mbalimbali nchini kutokana na baadhi ya vifungu vyake kutofanyiwa marekebisho. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya wadau wameiomba...
11 years ago
Habarileo19 Dec
Sheria yaja kudhibiti mabaraza ya ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema katika kudhibiti na kushughulikia malalamiko dhidi ya wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi, wako kwenye mchakato wa kuandaa kanuni zitakazodhibiti utendaji wao.
10 years ago
MichuziWAZIRI NYALANDU AANZA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI