Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usuluhishi wa mgogoro wa ardhi kwenye mabaraza ya kata

Mgogoro wa ardhi ni kitendo au hali ya kutokuwa na maelewano kwa pande zaidi ya mbili juu ya umiliki, mipaka, upangaji, mikopo, mauzo na aina nyingine ya ubishani ikihusisha sheria za ardhi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC CHONGOLO AWATAKA WAJUMBE MABARAZA YA KATA MANISPAA YA KINONDONI KUSIMAMIA SHERIA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na wajumbe wa Mabaraza ya Kata ya Halmashauri hiyo jana wakati wa kikao cha kujadili changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo. Wa kwanza kushito ni Katibu Tawala Bi. Stella Msofe.Wajumbe wa Mabaraza ya Kata wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mhe. Daniel Chongolo.Wajumbe wa Mabaraza ya Kata ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakiwa kwenye kikao.………………………………………………………………… Wajumbe wa Mabaraza ya Kata Manispaa...

 

11 years ago

Michuzi

Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa Yaanza leo mjini Maputo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiongea katika mkutano a Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa yameanza leo Jijini Maputo, Msumbiji kwa kuzikutanisha pande zote mbili za mgogoro huo.  Mazungumzo hayo yaliyopo chini ya Jopo la Usuluhishi linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joachim Chissano akisaidiwa na Mhe. Thabo Mbeki Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini na Mhe. Festus Mogae Rais Mstaafu wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

7 wauawa kwenye mgogoro wa ardhi TZ

Watu saba wameuwa na wengine wamejeruhiwa katika mapigano ya jamii za wakulima na Wafugaji mkoani Manyara nchini Tanzania.

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI AFANYA JITIHADA KUBORESHA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA YA WILAYA

Katibu Mkuu wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Alphayo J.Kidata, amefanya ziara katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya na kufanya maboresho, pamoja na kuahidi maboresho zaidi. Mhe. Kidata amefanya ziara hiyo ya ghafla katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya za Kinondoni na Ilala ili kubaini uendeshaji wa kazi katika Mabaraza hayo. Akisomewa ripoti fupi na mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni, Bw. Yose Mlyambina pamoja na mambo mengine...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheria mabaraza ya kata zachochea uhalifu

SHERIA ya mabaraza ya kata ya mwaka 1985, imekua mwiba katika maeneo mbalimbali nchini kutokana na baadhi ya vifungu vyake kutofanyiwa marekebisho. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya wadau wameiomba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali irekebishe sheria mabaraza ya kata’

SERIKALI imeombwa  kuifanya marekebisho sheria ya mabaraza ya kata  ya mwaka 1985, kutokana na kuwepo kwa changamoto  wakati wa kutoa usuluhishi. Akizungumza na Tanzania Daima mwishoni mwa wiki baada ya mafunzo ya sheria...

 

11 years ago

Habarileo

Sheria yaja kudhibiti mabaraza ya ardhi

Profesa Anna TibaijukaWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema katika kudhibiti na kushughulikia malalamiko dhidi ya wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi, wako kwenye mchakato wa kuandaa kanuni zitakazodhibiti utendaji wao.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi mkoa wa Dar

IMG-20141114-WA0009

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi.

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-

1.TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;

2.TAREHE...

 

11 years ago

Michuzi

MAZUNGUMZO YA USULUHISHI WA MGOGORO WA MPAKA BAINA YA TANZANIA NA MALAWI YAANZA LEO MJINI MAPUTO.

Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa yameanza leo Jijini Maputo, Msumbiji kwa kuzikutanisha pande zote mbili za mgogoro huo. 
Mazungumzo hayo yaliyopo chini ya Jopo la Usuluhishi linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joachim Chissano akisaidiwa na Mhe. Thabo Mbeki Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini na Mhe. Festus Mogae Rais Mstaafu wa Botswana yaliwapa nafasi pande zote mbili kutoa tamko rasmi kabla ya usuluhishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani