MAZUNGUMZO YA USULUHISHI WA MGOGORO WA MPAKA BAINA YA TANZANIA NA MALAWI YAANZA LEO MJINI MAPUTO.
Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa yameanza leo Jijini Maputo, Msumbiji kwa kuzikutanisha pande zote mbili za mgogoro huo.
Mazungumzo hayo yaliyopo chini ya Jopo la Usuluhishi linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joachim Chissano akisaidiwa na Mhe. Thabo Mbeki Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini na Mhe. Festus Mogae Rais Mstaafu wa Botswana yaliwapa nafasi pande zote mbili kutoa tamko rasmi kabla ya usuluhishi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa Yaanza leo mjini Maputo
11 years ago
Habarileo16 May
Mazungumzo ya mpaka yasubiri uchaguzi Malawi
JOPO la marais wa zamani wanaoshughulikia mgogoro wa Ziwa Nyasa baina ya Tanzania na Malawi, linasubiri kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Malawi unaotarajia kufanyika Jumanne ijayo, ili kuingia katika awamu ya pili ya mazungumzo ya kumaliza mgogoro huo.
11 years ago
Habarileo27 Mar
Wananchi Malawi, Tanzania kuamua mpaka Ziwa Nyasa
MGOGORO wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi hautatuliwa kisheria, badala yake itakuwa kijamii kwa kuhoji wananchi wa pande husika. Mgogoro huo unahusu mpaka katika Ziwa Nyasa ambao sasa wananchi wa kila upande, watahojiwa juu ya madhara wanayodhani watapata kutokana na mpaka kuwa ndani ya ziwa hilo.
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Usuluhishi wa mgogoro wa ardhi kwenye mabaraza ya kata
9 years ago
VijimamboPINDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Sf1g3nh3sjQ/VlI7wt6M1DI/AAAAAAAAru4/uYNPHvX1ipc/s72-c/IMG_05910.jpg)
KINANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA KUSINI MWA AFRIKA MJINI MAPUTO,MSUMBIJI
Mkutano huo ulijadili masuala yaliyolenga kutatua changamoto mbalimbali za mataifa hayo na mipango ya maendeleo kwa ujumla.
Baadhi ya viongozi wa vyama...
9 years ago
CCM Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-Sf1g3nh3sjQ/VlI7wt6M1DI/AAAAAAAAru4/uYNPHvX1ipc/s72-c/IMG_05910.jpg)
KINANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA KUSINI MWA AFRIKA MJINI MAPUTO,MSUMBIJI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Abdulrahman Kinana katikati ya wiki iliyopita aliongoza ujumbe wa Tanzania nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa Vyama vya Siasa Kusini Mwa Afrika.
Mkutano huo uliohudhuriwa na baadhi ya Wenyeviti na Makatibu Wakuu wa vyama hivyo, umemalizika mwishoni mwa wiki mjini Maputo kwa mafanikio makubwa.
Mkutano huo ulijadili masuala yaliyolenga kutatua changamoto mbalimbali za mataifa hayo na mipango ya maendeleo kwa ujumla.
Baadhi ya viongozi wa...