Mazungumzo ya mpaka yasubiri uchaguzi Malawi
JOPO la marais wa zamani wanaoshughulikia mgogoro wa Ziwa Nyasa baina ya Tanzania na Malawi, linasubiri kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Malawi unaotarajia kufanyika Jumanne ijayo, ili kuingia katika awamu ya pili ya mazungumzo ya kumaliza mgogoro huo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi20 Mar
MAZUNGUMZO YA USULUHISHI WA MGOGORO WA MPAKA BAINA YA TANZANIA NA MALAWI YAANZA LEO MJINI MAPUTO.
Mazungumzo hayo yaliyopo chini ya Jopo la Usuluhishi linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joachim Chissano akisaidiwa na Mhe. Thabo Mbeki Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini na Mhe. Festus Mogae Rais Mstaafu wa Botswana yaliwapa nafasi pande zote mbili kutoa tamko rasmi kabla ya usuluhishi...
11 years ago
MichuziMazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa Yaanza leo mjini Maputo
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Mengi afanya mazungumzo na Balozi wa Malawi
NA FURAHA OMARY
MWENYEKITI wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi, amekutana na Balozi wa Malawi nchini, Hawa Ndilowe na kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali, yakiwemo ya kibiashara.
Dk. Mengi na Balozi Hawa walikutana jana, mjini Dar es Salaam, katika makao makuu ya kampuni za IPP.
Katika mazungumzo hayo, Balozi Hawa alisema Malawi iko tayari kuingia ubia na Tanzania kwa ajili ya masuala ya kibiashara.
Pia, alimweleza Dk. Mengi, kwamba wanaunga mkono juhudi zinazofanywa na sekta binafsi...
11 years ago
Habarileo27 Mar
Wananchi Malawi, Tanzania kuamua mpaka Ziwa Nyasa
MGOGORO wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi hautatuliwa kisheria, badala yake itakuwa kijamii kwa kuhoji wananchi wa pande husika. Mgogoro huo unahusu mpaka katika Ziwa Nyasa ambao sasa wananchi wa kila upande, watahojiwa juu ya madhara wanayodhani watapata kutokana na mpaka kuwa ndani ya ziwa hilo.
9 years ago
VijimamboPINDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI
10 years ago
GPLSERIKALI ZA TANZANIA NA MALAWI ZASEMA HAZINA TOFAUTI JUU YA MPAKA WA ZIWA NYASA
5 years ago
BBCSwahili28 Jun
Lazarus Chakwera: Kutoka kuongoza makanisa ya Walokole mpaka kushinda Urais wa Malawi
9 years ago
StarTV23 Oct
Polisi yasimamisha mikusanyiko mpaka baada ya uchaguzi
Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikusanyiko yote baada ya kuhitimishwa kwa kampeni za wagombea wa Urais, Wabunge na Madiwani Octoba 24 mpaka matokeo ya uchaguzi mkuu yatakapotangazwa .
Akizungumza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu amesema kutokana na uzoefu wa kipindi cha kampeni uwepo wa mikusanyiko ya watu wenye itikadi moja husababisha vurugu.
IGP Mangu amesema ni vyema wananchi wakajiepusha na vitendo vyovyote vya uchokozi kwa kuwa Jeshi la Polisi halitasita kuchukua...