KINANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA KUSINI MWA AFRIKA MJINI MAPUTO,MSUMBIJI
![](http://1.bp.blogspot.com/-Sf1g3nh3sjQ/VlI7wt6M1DI/AAAAAAAAru4/uYNPHvX1ipc/s72-c/IMG_05910.jpg)
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Abdulrahman Kinana katikati ya wiki iliyopita aliongoza ujumbe wa Tanzania nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa Vyama vya Siasa Kusini Mwa Afrika. Mkutano huo uliohudhuriwa na baadhi ya Wenyeviti na Makatibu Wakuu wa vyama hivyo, umemalizika mwishoni mwa wiki mjini Maputo kwa mafanikio makubwa.
Mkutano huo ulijadili masuala yaliyolenga kutatua changamoto mbalimbali za mataifa hayo na mipango ya maendeleo kwa ujumla.
Baadhi ya viongozi wa vyama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-Sf1g3nh3sjQ/VlI7wt6M1DI/AAAAAAAAru4/uYNPHvX1ipc/s72-c/IMG_05910.jpg)
KINANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA KUSINI MWA AFRIKA MJINI MAPUTO,MSUMBIJI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Abdulrahman Kinana katikati ya wiki iliyopita aliongoza ujumbe wa Tanzania nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa Vyama vya Siasa Kusini Mwa Afrika.
Mkutano huo uliohudhuriwa na baadhi ya Wenyeviti na Makatibu Wakuu wa vyama hivyo, umemalizika mwishoni mwa wiki mjini Maputo kwa mafanikio makubwa.
Mkutano huo ulijadili masuala yaliyolenga kutatua changamoto mbalimbali za mataifa hayo na mipango ya maendeleo kwa ujumla.
Baadhi ya viongozi wa...
9 years ago
MichuziMKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA TANZANIA.ZANZIBAR.
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AONGOZA UJUMBE WA WAANGALIZI WA TANZANIA KWENYE UCHAGUZI NCHINI AFRIKA KUSINI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDqCGYcQPKoy2AE-g2d4icNinkJdJuXgQ431MixBTSo6NUkrm1H0WIONLUQb9mJMgeV9HzmDoqZjWVdGv9VmIP7h/mktn1.jpg?width=650)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ASHIRIKI MKUTANO WA TATU WA UMOJA TAASISI ZA MAGEREZA BARANI AFRIKA, MAPUTO MSUMBIJI
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HwIFjoqJqrc/U80NzY7hvoI/AAAAAAAF4XM/VvNrJDpSZ_Y/s72-c/unnamed+(44).jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ASHIRIKI MKUTANO WA TATU(03) WA UMOJA TAASISI ZA MAGEREZA BARANI AFRIKA, MAPUTO MSUMBIJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-HwIFjoqJqrc/U80NzY7hvoI/AAAAAAAF4XM/VvNrJDpSZ_Y/s1600/unnamed+(44).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8aWWKiH9ILs/U80Nzg0sk8I/AAAAAAAF4XQ/Zkfouvh7AQo/s1600/unnamed+(45).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wyxo27JVCUo/VNj4OGV4KqI/AAAAAAAHCrQ/AjV3gaPkzaE/s72-c/unnamed%2B(16).jpg)
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi mjini Geneva
![](http://2.bp.blogspot.com/-wyxo27JVCUo/VNj4OGV4KqI/AAAAAAAHCrQ/AjV3gaPkzaE/s1600/unnamed%2B(16).jpg)
9 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU