Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ASHIRIKI MKUTANO WA TATU(03) WA UMOJA TAASISI ZA MAGEREZA BARANI AFRIKA, MAPUTO MSUMBIJI

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, John Casmir Minja akichangia Mada katika Mkutano wa Tatu(03) wa Umoja wa Taasisi za Urekebishaji(Magereza) Barani Afrika uliofanyika hivi karibuni kuanzia July 14 - 17, 2014 Maputo, Msumbiji. Maafisa na Askari Magereza wa Msumbiji wakimsikiliza Mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji, Mhe. Dkt. Armando Guebuza(hayupo pichani) katika ufunguzi wa Mkutano wa Tatu(03) wa Umoja wa Taasisi za Urekebishaji(Magereza) Barani Afrika uliofanyika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ASHIRIKI MKUTANO WA TATU WA UMOJA TAASISI ZA MAGEREZA BARANI AFRIKA, MAPUTO MSUMBIJI

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, John Casmir Minja akichangia Mada katika Mkutano wa Tatu(03) wa Umoja wa Taasisi za Urekebishaji(Magereza) Barani Afrika uliofanyika hivi karibuni Maputo, Msumbiji. Maafisa na Askari Magereza wa Msumbiji wakimsikiliza Mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji, Mhe. Dkt. Armando Guebuza(hayupo pichani) katika ufunguzi wa Mkutano wa Tatu(03) wa Umoja wa Taasisi za...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI TANZANIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MAGEREZA DAY NCHINI ZAMBIA YAFANA.

 Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Tanzania, John Casmir Minja(wa tatu kulia) akisalimiana na Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Magereza Nchini  Zambia, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini Zambia, Mhe.  Nickson Chilangwa(wa pili kulia) ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Hamunyela. Maadhimisho hayo yamefanyika Septemba 26, 2014 katika Viwanja Vya Chuo Cha Maafisa Magereza Mjini Kabwe, Zambia. Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUKABIDHIWA MADARAKA YA UONGOZI KWA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia anayemaliza muda wake, Evaristus Shikongo(katikati) akipokea Salaamu ya heshima toka kwa Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maafisa na Askari wa Magereza wa Namibia(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukabidhi rasmi Uongozi(kulia) ni Waziri wa Ulinzi na Usalama Nchini Namibia, Mhe. Immanuel Ngatjizeko na kushoto kwake ni Kamishna Jenerali Mpya wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Hamunyela. Sherehe hizo zimefanyika Februari 01, 2014 katika Chuo...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AWAFUNDA WAKUU WA MAGEREZA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA AGENDA YA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA MAGEREZA


Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akitoa maelekezo maalum leo Mei 04, 2020  katika kikao kazi cha Maafisa wa Jeshi la Magereza walioteuliwa hivi karibuni kushika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi hilo wakiwemo wakuu wa magereza, Boharia Mkuu wa Jeshi ambapo Jenerali Mzee amewataka kuhakikisha kuwa wanasimamia ipasavyo Agenda ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Magereza.Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akiwa meza kuu pamoja na Viongozi Waandamizi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA WADAU WA KUPOKEA MAONI JUU YA SERA YA TAIFA YA MAGEREZA WAMALIZIKA WILAYANI BAGAMOYO, KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APONGEZWA KWA KUFANIKISHA RASIMU HIYO

  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw.  Mbarak Abdulawakil akitoa hotuba ya Ufungaji wa Mkutano wa Wadau uliohusu upokeaji wa maoni ya Sera ya Taifa ya Magereza. Mkutano huo wa siku mbili umefanyikia katika Hoteli ya Livingstone Bagamoyo ambapo wadau wamepitia rasimu hiyo na kutoa maoni kikamilifu Novemba 05, 2014. Wadau wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufungaji wa Mkutano wa Wadau uliohusu upokeaji wa maoni ya Sera ya Taifa ya Magereza Novemba 05, 2014 katika Hoteli ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA UYUI TABORA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashilia uzinduzi rasmi wa "Duty Free Shop" ya Magereza Mkoani Tabora leo februari 28, 2015. Kamishna Jenerali Minja amesema kuwa Huduma hiyo itatolewa pia kwa Maafisa na Askari wa Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama Mkoani Tabora(kulia) ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Transit Military Shop, Bw. Sadrudin Virji.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto)...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AVISHA YEO MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR ES SALAA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja akikagua Gadi Maalum ya Heshima iliyoandaliwa na Maafisa wa Jeshi la Magereza katika hafla ya uvishaji vyeo kwa Maafisa waliopandishwa vyeo ngazi mbalimbali(jana) Machi 20, 2015 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Dar es Salaam.Bendi ya Jeshi la Magereza ikipita mbele ya Mgeni rasmi Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(hayupo pichani) kutoa heshima baada ya zoezi la uvishaji vyeo Maafisa 77 wa vyeo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani