Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrisho Mpoto aja na ‘Kutoka Shambani’, anatafuta wasanii watatu wenye vipaji

Msanii wa muziki wa asili na mtunzi wa mashairi, Mrisho Mpoto ameanzisha kijiji kiitwacho ‘Kutoka Shambani’ ambacho kitawakutanisha vijana wenye fani mbalimbali hapa nchini. Mpoto ameiambia Bongo5 kuwa vijana wenye vipaji mbalimbali na watakaokubali kushiriki watalazimika kukaa miaka 2 kwenye kijiji hicho bila kutumia simu. “Nilichokifanya nimetafuta heka 20 ambazo zipo, nachofanya nataka nichukue wasani […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto awapa ushauri wasanii wanaotegemea show

Msanii wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto amewataka wasanii wenzie kuacha kutegemea show pekee na kujitengenezea njia nyingine za kujipatia kipato. Mrisho Mpoto akikamata fursa kwa Waziri Pinda. Akizungumza na Bongo5 jana, Mpoto amesema kuwa wasanii wanaHitaji kutafuta elimu ya jinsi ya kutumia brand zao. “Wasanii wanahitaji kutafuta wasomi ili wajue jinsi ya kutumia […]

 

10 years ago

Bongo5

Stamina adai wasanii wengi wa filamu wanauza sura, wenye vipaji wachache

Rapper Stamina anaamini kuwa tasnia ya filamu nchini inashindwa kwenda mbele zaidi kutokana na waigizaji wengi kutokuwa na vipaji bali wanatafuta umaarufu na pesa. Stamina amesema anashindwa kukaa na kuangalia filamu za siku hizi kwakuwa zimekosa waigizaji mahiri. “Unajua kuangalia filamu kuna raha yake kama utakuta waigizaji ambao wanajua kazi yao. Sio o hawa wanaotafuta […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Kituo cha Radio 5 Arusha — chasaka wasanii wenye vipaji mtaani jijini Dar

????????????????????????????????????

Wasanii wenye vipaji vya kuimba wakihakiki majina yao kwa DJ Haazu, wa Radio 5 wakati wa mchakato wa RADIO 5 KAMATA KIPAJI uliofanyika katika viwanja vya TP SINZA Jijini Dar es salaam Septemba 12, 2015.wenye lengo la kusaka vijana wenye vipaji na kuwainua kutokana na vipaji vyao.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG).

Katika kuonyesha kuwa wapo karibu na vijana wa Kitanzania katika kuwasaidia kuwainua kiuchumi na kiuwezo,kituo cha Radio maarufu kutoka kaskazini mwa Tanzania ARUSHA...

 

9 years ago

Michuzi

KITUO CHA RADIO 5 ARUSHA - CHASAKA WASANII WENYE VIPAJI MTAANI JIJINI DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Wasanii wenye vipaji vya kuimba wakihakiki majina yao kwa DJ Haazu, wa Radio 5 wakati wa mchakato wa RADIO 5 KAMATA KIPAJI uliofanyika katika viwanja vya TP SINZA Jijini Dar es salaam Septemba 12, 2015.wenye lengo la kusaka vijana wenye vipaji na kuwainua kutokana na vipaji vyao.PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOGKatika kuonyesha kuwa wapo karibu na vijana wa kitanzania katika kuwasaidia kuwainua kiuchumi na kiuwezo,kituo cha Radio maarufu kutoka kaskazini mwa Tanzania ARUSHA...

 

9 years ago

GPL

MJUE MRISHO MPOTO -2

ATUA DAR, AOKOTA KUNI, VIFUU NA KUVIUZA MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale upande wa baba yake alipomwambia mkewe ampeleke mtoto porini hadi atakapofariki dunia kisha arudi kwa sababu tu alizaliwa akiwa na alama ya ajabu shingoni. Songa nayo mwenyewe... “Kwa kuwa baada ya mama kunizaa alisema hatazaa tena, kitendo cha kuambiwa anipeleke porini nikafie huko nifukiwe kilimfanya...

 

9 years ago

GPL

MRISHO MPOTO, WAZUNGU WAMPIGIA SALUTI, WAMPELEKA MAREKANI -6

MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale Mrisho alipokuwa akijiingizia kipato cha shilingi 3,000 kwa kusimulia hadithi kwa siku kutoka 1,200 za kibarua ambapo sasa Wazungu kutoka Dar walimtumia nauli arudi. Tambaa nayo mwenyewe... “Ikabidi nikubaliane na wale Wazungu, nikatoka Kigoma na kurejea Dar, nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 ambapo makazi yangu yalikuwa hayatabiriki kwani siku...

 

10 years ago

GPL

MRISHO MPOTO ATOA LA MOYONI KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ

Mwanamuziki Mrisho Mpoto amempongeza msanii Diamond Platnumz kwa kupata tuzo tatu za Channel O nchini Afrika Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani