KITUO CHA RADIO 5 ARUSHA - CHASAKA WASANII WENYE VIPAJI MTAANI JIJINI DAR ES SALAAM
Wasanii wenye vipaji vya kuimba wakihakiki majina yao kwa DJ Haazu, wa Radio 5 wakati wa mchakato wa RADIO 5 KAMATA KIPAJI uliofanyika katika viwanja vya TP SINZA Jijini Dar es salaam Septemba 12, 2015.wenye lengo la kusaka vijana wenye vipaji na kuwainua kutokana na vipaji vyao.PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOGKatika kuonyesha kuwa wapo karibu na vijana wa kitanzania katika kuwasaidia kuwainua kiuchumi na kiuwezo,kituo cha Radio maarufu kutoka kaskazini mwa Tanzania ARUSHA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Sep
Kituo cha Radio 5 Arusha — chasaka wasanii wenye vipaji mtaani jijini Dar
Wasanii wenye vipaji vya kuimba wakihakiki majina yao kwa DJ Haazu, wa Radio 5 wakati wa mchakato wa RADIO 5 KAMATA KIPAJI uliofanyika katika viwanja vya TP SINZA Jijini Dar es salaam Septemba 12, 2015.wenye lengo la kusaka vijana wenye vipaji na kuwainua kutokana na vipaji vyao.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG).
Katika kuonyesha kuwa wapo karibu na vijana wa Kitanzania katika kuwasaidia kuwainua kiuchumi na kiuwezo,kituo cha Radio maarufu kutoka kaskazini mwa Tanzania ARUSHA...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-cM24Tk72kc4/VO62LKMk8sI/AAAAAAAHF7w/MHYlmLLytVw/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
MISS UNIVERSE NALE BONIFACE ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) CHA SALVATION ARMY JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-cM24Tk72kc4/VO62LKMk8sI/AAAAAAAHF7w/MHYlmLLytVw/s1600/unnamed%2B(6).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-dVm2XXwOEwM/VO62MqHot6I/AAAAAAAHF8E/8ND71291Uas/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QD1vNIM7eeY/VVcTEZQyNVI/AAAAAAAHXkM/8HxsXC3v5uw/s72-c/unnamed%2B(69).jpg)
CHIKAWE AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO YA DHARURA CHA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-QD1vNIM7eeY/VVcTEZQyNVI/AAAAAAAHXkM/8HxsXC3v5uw/s640/unnamed%2B(69).jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.
Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.
Hapa usafi ukiendelea.
Hapa ni kazi usafi ukifanyika.
Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-QD1vNIM7eeY/VVcTEZQyNVI/AAAAAAAHXkM/8HxsXC3v5uw/s72-c/unnamed%2B(69).jpg)
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO YA DHARURA CHA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-QD1vNIM7eeY/VVcTEZQyNVI/AAAAAAAHXkM/8HxsXC3v5uw/s640/unnamed%2B(69).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-G9bxKs9hOOs/VVqs45kZwxI/AAAAAAAHYKc/tFVftuutUyI/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
KITUO CHA AFYA CHA AAR HEALTHCARE CHAHAMIA BARABARA YA BAGAMOYO MAENEO YA VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-G9bxKs9hOOs/VVqs45kZwxI/AAAAAAAHYKc/tFVftuutUyI/s640/unnamed%2B(7).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-QsDydj1IeSY/VVqs6cNo6bI/AAAAAAAHYKw/6b12WWuBzE8/s640/unnamed%2B(8).jpg)
10 years ago
MichuziUJAMAA INTELLECTUALS NETWORK WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAUNGA CENTRE JIJINI DAR ES SALAAM
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
Dewji Blog10 Aug
Kituo cha Radio 5 chashinda nafasi ya kwanza maonyesho ya Nanenane Arusha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akikabidhi kikombe Meneja masoko na mawasiliano Sarah Lazaro Keiya mara baada yakituo cha Radio5 kutangazwa washindi wa kwanza kwa upande wa Radio na wapili katika sekta nzima ya mawasiliano katika kilele cha sherehe za sikukuu ya Wakulima nanenane na maonyesho ya kilimo Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika uwanja wa maonyeshoThemi Mkoani Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Meneja masoko na...
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Rais Kikwete afungua kituo cha Michezo Kidogo Chekundu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba mtoto wakati wa Sherehe za ufunguzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar...