Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ray: Uchaguzi umenifanya niwajue wasanii wenye akili na wasiokuwa nazo

Muigizaji wa filamu, Vicent Kigosi maarufu kama Ray amesema kupitia uchaguzi mwak mwaka huu ameweza kuwafahamu wasanii mwenye akili na wasiokuwa nazo. Ray kupitia ukurasa wake wa Instagram muigizaji huyo aliandika: FREEDOM OF SPEECH Kuna vitu vingi sana nimegundua kwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray

"(FREEDOM OF SPEECH)

Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)

Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na...

 

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio)

Kumekuwepo na fununu zikienea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu Wanawake wenye maumbile makubwa au Hips  wana nafasi kubwa ya kuzaa watoto wenye uwezo wa kiakili. Hapa nakukutanisha na Dr. Isaac Maro akiuelezea ukweli wa mambo. Bonyeza Play hapa chini kuipata hii yote. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio) appeared first on...

 

11 years ago

GPL

BATULI APINGA KUFUTURISHA WENYE NAZO

Na Hamida Hassan MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ametamka kuwa hakubaliani kabisa na wale mastaa wenye tabia za kufuturisha watu wenye uwezo mkubwa kiuchumi. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ Akizungumza na paparazi wetu, Batuli alisema anaamini kwamba twawabu nzuri zinapatikana kwa kufuturisha watu wenye mahitaji kama watoto yatima na ndiyo maana yeye...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA, BOZI; KUSHOBOKEA WENYE NAZO KUTAWATOKEA PUANI!

KUNA muigizaji mmoja mkubwa nafahamu sana uwezo wake na katika siku za hivi karibuni, amekuwa akinivutia baada ya kumtazama katika kazi zake kadhaa, Shamsa Ford. Halafu kuna huyu mwingine, Fatma Ayoub maarufu kama Bozi, naye anajitahidi kiasi chake. Kwa nyakati tofauti wametoa kauli zilizonifanya nifikirie mara mbilimbili; kwamba wao wanahitaji kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wanaume wenye nazo, kwa sababu hawa akina pangu...

 

10 years ago

Bongo5

AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje

Wewe ni msanii mwenye mawazo ya kuja kufanya collabo na wasanii wa nje ya Tanzania? AY ametoa elimu ndogo kupitia uzoefu wake, wa nini cha kufanya ili collabo yako iwe na maana na ikuletee matunda. “Cha kwanza watu wajue lazima uje na style yako usikae kama wanna be” AY a.k.a ‘mzee wa Zigo’ ameiambia 255 […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Je wenye akili taahira wafungwe kizazi?

Familia nyingi zenye wagonjwa wenye akili taahira wanasema ingekuwa vyema kuwafunga kizazi wagonjwa hao kwani wanapata matatizo mengi wanapozaa

 

10 years ago

GPL

NI WENYE AKILI PEKEE NDIYO WATAKAOMWELEWA GWAJIMAU

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. elewa ni suala la mtu na mtu, si kitu cha pamoja hata kidogo! Fundisha uwezavyo usitarajie watu wote wakuelewe katika msingi mmoja. Naamini hata sakata la Josephat Gwajima ambaye ni Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, lazima litaeleweka tofautitofauti. Nakatisha maelezo kwa sababu nafahamu jamii ninayoiandikia makala haya inafahamu Gwajima anatuhumiwa kumkashifu Askofu wa...

 

11 years ago

GPL

WENYE FEDHA WANA AKILI KULIKO SISI?

Hili ni moja kati ya maswali muhimu ambayo mtu anapaswa kujiuliza, pale anapofikiria kama anaweza kutengeneza pesa na kuwa tajiri kama walivyo matajiri wengine. Jibu la swali hili linaweza kuwa ‘Inawezekana’. Kwamba inawezekana matajiri wana akili kuliko sisi kwa sababu wamefanikiwa kupata fedha, achana na hawa tunaosikiasikia kuwa wanapata utajiri kwa sababu ya nguvu za giza. Lakini hata hivyo, akili ambazo wanazo...

 

10 years ago

CloudsFM

WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA AKILI WAPATA UJAUZITO GEITA

Wanafunzi watatu ambao ni walemavu wa akili wanaosoma Shule Maalumu ya Msingi Mbugani, Halmashauri ya Mji Geita wamekatiza masomo baada ya kubakwa na kupata mimba.
Wanafunzi hao wameacha masomo tangu mwanzoni mwa mwaka huu kwa sababu ya ujauzito, baada ya kubakwa na watu wasiojulikana wakiwa njiani kwenda shule.

Akizungumza ofisini kwake juzi, Mwalimu Mkuu Kitengo cha Wanafunzi Walemavu, Mtawa Blacia Mghamba alisema wanafunzi hao wamefanyiwa vitendo hiyo kutokana na shule hiyo kutokuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani