Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je wenye akili taahira wafungwe kizazi?

Familia nyingi zenye wagonjwa wenye akili taahira wanasema ingekuwa vyema kuwafunga kizazi wagonjwa hao kwani wanapata matatizo mengi wanapozaa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio)

Kumekuwepo na fununu zikienea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu Wanawake wenye maumbile makubwa au Hips  wana nafasi kubwa ya kuzaa watoto wenye uwezo wa kiakili. Hapa nakukutanisha na Dr. Isaac Maro akiuelezea ukweli wa mambo. Bonyeza Play hapa chini kuipata hii yote. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio) appeared first on...

 

10 years ago

GPL

NI WENYE AKILI PEKEE NDIYO WATAKAOMWELEWA GWAJIMAU

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. elewa ni suala la mtu na mtu, si kitu cha pamoja hata kidogo! Fundisha uwezavyo usitarajie watu wote wakuelewe katika msingi mmoja. Naamini hata sakata la Josephat Gwajima ambaye ni Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, lazima litaeleweka tofautitofauti. Nakatisha maelezo kwa sababu nafahamu jamii ninayoiandikia makala haya inafahamu Gwajima anatuhumiwa kumkashifu Askofu wa...

 

11 years ago

GPL

WENYE FEDHA WANA AKILI KULIKO SISI?

Hili ni moja kati ya maswali muhimu ambayo mtu anapaswa kujiuliza, pale anapofikiria kama anaweza kutengeneza pesa na kuwa tajiri kama walivyo matajiri wengine. Jibu la swali hili linaweza kuwa ‘Inawezekana’. Kwamba inawezekana matajiri wana akili kuliko sisi kwa sababu wamefanikiwa kupata fedha, achana na hawa tunaosikiasikia kuwa wanapata utajiri kwa sababu ya nguvu za giza. Lakini hata hivyo, akili ambazo wanazo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Muziki watumika kuwasaidia watoto wenye ulemavu wa akili

Asilimia moja ya watu duniani wanazaliwa wakiwa na matatizo ya akili na ubongo.

 

10 years ago

CloudsFM

WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA AKILI WAPATA UJAUZITO GEITA

Wanafunzi watatu ambao ni walemavu wa akili wanaosoma Shule Maalumu ya Msingi Mbugani, Halmashauri ya Mji Geita wamekatiza masomo baada ya kubakwa na kupata mimba.
Wanafunzi hao wameacha masomo tangu mwanzoni mwa mwaka huu kwa sababu ya ujauzito, baada ya kubakwa na watu wasiojulikana wakiwa njiani kwenda shule.

Akizungumza ofisini kwake juzi, Mwalimu Mkuu Kitengo cha Wanafunzi Walemavu, Mtawa Blacia Mghamba alisema wanafunzi hao wamefanyiwa vitendo hiyo kutokana na shule hiyo kutokuwa na...

 

11 years ago

Michuzi

shule ya msingi kibamba yapata kitengo cha wenye ulemavu wa akili

Kitengo (madarasa) cha wanafunzi wenye ulemavu wa akili, shule ya msingi kibamba. Kitengo kimejengwa na Bw Rupin Rajani wa Rajani Group kupitia DSM Mentally Handicapped Children Support Group. Kibao kinacho onesha wafadhili wa kitengo hiki. Bw. Rupin Rajani na wanachama wa DSM Mentally Handicapped Children Support Group nje ya darasa moja wapo. Bw. Rupin Rajani ndani ya darasa lenye wanafunzi wenye ulemavu wa akili katika shule ya msingi Kibamba, pamoja na waalimu wa elimu maalum na Mama...

 

9 years ago

Bongo5

Ray: Uchaguzi umenifanya niwajue wasanii wenye akili na wasiokuwa nazo

Muigizaji wa filamu, Vicent Kigosi maarufu kama Ray amesema kupitia uchaguzi mwak mwaka huu ameweza kuwafahamu wasanii mwenye akili na wasiokuwa nazo. Ray kupitia ukurasa wake wa Instagram muigizaji huyo aliandika: FREEDOM OF SPEECH Kuna vitu vingi sana nimegundua kwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili […]

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Benki ya NBC waipiga jeki timu ya watoto wenye ulemavu wa akili Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kulia) akipokea  msaada wa sh milioni mbili kutoka kwa Meneja wa NBC tawi la Zanzibar, Rajab Maalim (kushoto) zilizochangwa na wafanyakazi wa benki hiyo kwa ajili ya timu ya watoto wenye  ulemavu wa akili watakaoshiriki michezo ya olimpiki maalumu inayotarajiwa kuanza Juni 6 mwaka huu Wilayani Kibaha katika Mkoa wa Pwani. makabidhiano yalifanyika kwenye ofisi za makamu wa rais, Vuga, Zanzibar jana  Makamu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

ZAPDD yawapiga msasa wanahabari Zanzibar juu ya kutete watu wenye ulemavu wa akili PDD

TWOOOO (1)

 

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Ally Uki katikati akitoa mada katika Semina ya kuwajengea Uwezo Wanahabari. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watu wenye Ulemavu wa Akili Zanzibar (ZAPDD) Juma Salim Juma na kulia ni Mdau kutoka ZAPDD Khalid A Omar.  Semina hiyo ilidhaminiwa na Mwenvuli wa Asasi za Kiraia.

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar

Waandishi wa habari nchini wameazimia kuboresha Fani ya Uandishi na Utayarishaji wa Vipindi Vinavyohusu Watu wenye Ulemavu wa Akili ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani