Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa Benki ya NBC waipiga jeki timu ya watoto wenye ulemavu wa akili Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kulia) akipokea  msaada wa sh milioni mbili kutoka kwa Meneja wa NBC tawi la Zanzibar, Rajab Maalim (kushoto) zilizochangwa na wafanyakazi wa benki hiyo kwa ajili ya timu ya watoto wenye  ulemavu wa akili watakaoshiriki michezo ya olimpiki maalumu inayotarajiwa kuanza Juni 6 mwaka huu Wilayani Kibaha katika Mkoa wa Pwani. makabidhiano yalifanyika kwenye ofisi za makamu wa rais, Vuga, Zanzibar jana  Makamu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Citi Bank tawi la Tanzania watoa msaada kwenye Kitengo cha Watoto wenye Ulemavu wa akili,Tandika jijini Dar

Wafanyakazi wa Citi Bank tawi la Tanzania wameweza kujichangisha wenyewe kwa wenyewe na kupata fedha zilizofanikisha ukarabati wa jengo litakalotumika kama jiko la kupitia na ukumbi wa kulia chakula kwenye Kitengo cha Watoto wenye Ulemavu wa akili cha Shule ya Msingi Tandika,Wilayani Temeke jijini Dar es Salaam,Wafanyakazi hao wameamua kufanya hivyo leo ikiwa ni muendelezo wa mpango wao wa kusadia watu wenye Mahitaji,wanaofaunya mara moja kwa mwaka Duniani kote,mbali na ukarabati huo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Muziki watumika kuwasaidia watoto wenye ulemavu wa akili

Asilimia moja ya watu duniani wanazaliwa wakiwa na matatizo ya akili na ubongo.

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa NBC wajitolea kuosha magari kutafuta fedha kupinga ukatili wa watu wenye ulemavu wa ngozi

  Baadhi ya mameneja wa matawi ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakijitolea kuosha magari ili kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia watu wenye ulemavu wa ngoz (albino) na kusaidia juhudi za  kupinga ukatili dhidi yao katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja wa NBC Kanda ya Dar es Salaam Rachel Mwalukasa na kulia ni Meneja wa Tawi la Sea Cliff, Mariam Kombo. Baadhi ya mameneja wa matawi ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakijitolea kuosha...

 

9 years ago

Michuzi

KITUO MAALUM CHA KULELEA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI SHINYANGA CHAPIGWA JEKI NA VODACOM FOUNDATION

Katika kuboresha na kufanya maisha ya Watanzania kuwa murua, Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kupitia mfuko wake wa kusaidia jamii”Vodacom Foundation”, imekabidhi msaada wa vitu mbalimbali na vyakula wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 29 kwa kituo cha walemavu mbalimbali wakiwemo wenye ulemavu wa ngozi, Albino, kilichopo katika Manispaa ya Shinyanga.  Akikabidhi msaada huo kwa uongozi wa kituo hicho, Kaimu Mkuu wa Vodacom kanda ya Tanganyika, Sabas Ademba amesema kampuni...

 

10 years ago

GPL

MAFUNZO YA MWEZI MMOJA YA OLIMPIKI MAALUMU TANZANIA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI YA FUNGWA RASMI

Walimu waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia Mwairafu. Walimu hao wakiwa wameshika mipira ya kufundishia. (Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)…

 

10 years ago

Dewji Blog

ZAPDD yawapiga msasa wanahabari Zanzibar juu ya kutete watu wenye ulemavu wa akili PDD

TWOOOO (1)

 

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Ally Uki katikati akitoa mada katika Semina ya kuwajengea Uwezo Wanahabari. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watu wenye Ulemavu wa Akili Zanzibar (ZAPDD) Juma Salim Juma na kulia ni Mdau kutoka ZAPDD Khalid A Omar.  Semina hiyo ilidhaminiwa na Mwenvuli wa Asasi za Kiraia.

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar

Waandishi wa habari nchini wameazimia kuboresha Fani ya Uandishi na Utayarishaji wa Vipindi Vinavyohusu Watu wenye Ulemavu wa Akili ili...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA MWEZI MMOJA YA OLIMPIKI MAALUMU TANZANIA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI YA FUNGWA RASMI LEO

Walimu waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia Mwairafu.Walimu hao wakiwa wameshika mipira ya kufundishia.Watoto wenye ulemavu wa akili wakiwa katika picha na  wazazi, pamoja na walimu wao baada ya kumaliza mafunzo  ya mwezi mmoja ya Olimpiki Maalumu Tanzania  yaliyofikia tamati wilayani Temeke Dar es Salaam leo.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yakarabati kituo cha watoto wenye ulemavu Morogoro

Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Morogoro, Bi Anna Wesiwasi (wapili kulia) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Kituo cha Amani cha watoto wenye ulemavu, Padri Beatus Sewando (watatu kulia) mara tu baada ya kuzindua jengo la kituo hicho kilichokarabatiwa na benki hiyo jana mkoani Morogoro. Akishuhudia ni Afisa Mauzo wa Benki hiyo Vick Haji (Kulia).
Na Mwandishi wetu, Morogoro
BENKI ya Exim Tanzania imefanya ukarabati wa majengo ya kituo cha watoto wenye ulemavu cha Amani kilichopo eneo la...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aupongeza Uongozi wa Chama cha Michezo cha Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Michezo cha Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar Bibi Saada Hamad Ali akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Medali 32 walizopata wachezaji wa Zanzibar katika mashindano ya Kitaifa Mkoani Kibaha.Balozi Seif akimvisha Medali Mchezaji Fahad Juma Khamis ambae alishinda kwenye mashindano ya Kitaifa yaliyofanyika Mkoani Pwani Tanzania Bara.Mchezaji Huzaima Haji Ali wa Timu ya Mchezo wa Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar akivishwa Medali na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani