Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA AKILI WAPATA UJAUZITO GEITA

Wanafunzi watatu ambao ni walemavu wa akili wanaosoma Shule Maalumu ya Msingi Mbugani, Halmashauri ya Mji Geita wamekatiza masomo baada ya kubakwa na kupata mimba.
Wanafunzi hao wameacha masomo tangu mwanzoni mwa mwaka huu kwa sababu ya ujauzito, baada ya kubakwa na watu wasiojulikana wakiwa njiani kwenda shule.

Akizungumza ofisini kwake juzi, Mwalimu Mkuu Kitengo cha Wanafunzi Walemavu, Mtawa Blacia Mghamba alisema wanafunzi hao wamefanyiwa vitendo hiyo kutokana na shule hiyo kutokuwa na...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi wenye ulemavu wapata ujauzito Geita

Wanafunzi watatu ambao ni walemavu wa akili wanaosoma Shule Maalumu ya Msingi Mbugani, Halmashauri ya Mji Geita wamekatiza masomo baada ya kubakwa na kupata mimba.

 

5 years ago

BBCSwahili

Muziki watumika kuwasaidia watoto wenye ulemavu wa akili

Asilimia moja ya watu duniani wanazaliwa wakiwa na matatizo ya akili na ubongo.

 

11 years ago

Michuzi

shule ya msingi kibamba yapata kitengo cha wenye ulemavu wa akili

Kitengo (madarasa) cha wanafunzi wenye ulemavu wa akili, shule ya msingi kibamba. Kitengo kimejengwa na Bw Rupin Rajani wa Rajani Group kupitia DSM Mentally Handicapped Children Support Group. Kibao kinacho onesha wafadhili wa kitengo hiki. Bw. Rupin Rajani na wanachama wa DSM Mentally Handicapped Children Support Group nje ya darasa moja wapo. Bw. Rupin Rajani ndani ya darasa lenye wanafunzi wenye ulemavu wa akili katika shule ya msingi Kibamba, pamoja na waalimu wa elimu maalum na Mama...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Benki ya NBC waipiga jeki timu ya watoto wenye ulemavu wa akili Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kulia) akipokea  msaada wa sh milioni mbili kutoka kwa Meneja wa NBC tawi la Zanzibar, Rajab Maalim (kushoto) zilizochangwa na wafanyakazi wa benki hiyo kwa ajili ya timu ya watoto wenye  ulemavu wa akili watakaoshiriki michezo ya olimpiki maalumu inayotarajiwa kuanza Juni 6 mwaka huu Wilayani Kibaha katika Mkoa wa Pwani. makabidhiano yalifanyika kwenye ofisi za makamu wa rais, Vuga, Zanzibar jana  Makamu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

ZAPDD yawapiga msasa wanahabari Zanzibar juu ya kutete watu wenye ulemavu wa akili PDD

TWOOOO (1)

 

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Ally Uki katikati akitoa mada katika Semina ya kuwajengea Uwezo Wanahabari. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watu wenye Ulemavu wa Akili Zanzibar (ZAPDD) Juma Salim Juma na kulia ni Mdau kutoka ZAPDD Khalid A Omar.  Semina hiyo ilidhaminiwa na Mwenvuli wa Asasi za Kiraia.

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar

Waandishi wa habari nchini wameazimia kuboresha Fani ya Uandishi na Utayarishaji wa Vipindi Vinavyohusu Watu wenye Ulemavu wa Akili ili...

 

10 years ago

GPL

MAFUNZO YA MWEZI MMOJA YA OLIMPIKI MAALUMU TANZANIA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI YA FUNGWA RASMI

Walimu waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia Mwairafu. Walimu hao wakiwa wameshika mipira ya kufundishia. (Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)…

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA MWEZI MMOJA YA OLIMPIKI MAALUMU TANZANIA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI YA FUNGWA RASMI LEO

Walimu waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia Mwairafu.Walimu hao wakiwa wameshika mipira ya kufundishia.Watoto wenye ulemavu wa akili wakiwa katika picha na  wazazi, pamoja na walimu wao baada ya kumaliza mafunzo  ya mwezi mmoja ya Olimpiki Maalumu Tanzania  yaliyofikia tamati wilayani Temeke Dar es Salaam leo.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Citi Bank tawi la Tanzania watoa msaada kwenye Kitengo cha Watoto wenye Ulemavu wa akili,Tandika jijini Dar

Wafanyakazi wa Citi Bank tawi la Tanzania wameweza kujichangisha wenyewe kwa wenyewe na kupata fedha zilizofanikisha ukarabati wa jengo litakalotumika kama jiko la kupitia na ukumbi wa kulia chakula kwenye Kitengo cha Watoto wenye Ulemavu wa akili cha Shule ya Msingi Tandika,Wilayani Temeke jijini Dar es Salaam,Wafanyakazi hao wameamua kufanya hivyo leo ikiwa ni muendelezo wa mpango wao wa kusadia watu wenye Mahitaji,wanaofaunya mara moja kwa mwaka Duniani kote,mbali na ukarabati huo...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aupongeza Uongozi wa Chama cha Michezo cha Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Michezo cha Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar Bibi Saada Hamad Ali akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Medali 32 walizopata wachezaji wa Zanzibar katika mashindano ya Kitaifa Mkoani Kibaha.Balozi Seif akimvisha Medali Mchezaji Fahad Juma Khamis ambae alishinda kwenye mashindano ya Kitaifa yaliyofanyika Mkoani Pwani Tanzania Bara.Mchezaji Huzaima Haji Ali wa Timu ya Mchezo wa Watu wenye ulemavu wa Akili Zanzibar akivishwa Medali na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani