Wanafunzi wenye ulemavu wapata ujauzito Geita
Wanafunzi watatu ambao ni walemavu wa akili wanaosoma Shule Maalumu ya Msingi Mbugani, Halmashauri ya Mji Geita wamekatiza masomo baada ya kubakwa na kupata mimba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM29 Oct
WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA AKILI WAPATA UJAUZITO GEITA
Wanafunzi watatu ambao ni walemavu wa akili wanaosoma Shule Maalumu ya Msingi Mbugani, Halmashauri ya Mji Geita wamekatiza masomo baada ya kubakwa na kupata mimba.
Wanafunzi hao wameacha masomo tangu mwanzoni mwa mwaka huu kwa sababu ya ujauzito, baada ya kubakwa na watu wasiojulikana wakiwa njiani kwenda shule.
Akizungumza ofisini kwake juzi, Mwalimu Mkuu Kitengo cha Wanafunzi Walemavu, Mtawa Blacia Mghamba alisema wanafunzi hao wamefanyiwa vitendo hiyo kutokana na shule hiyo kutokuwa na...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2cXxy9CVMPI/Vm0bllfNbgI/AAAAAAAIMDs/JuBoH6swHI0/s72-c/78e1c2bf00cd50c3fd896c202f216097.jpg)
Zitto Kabwe akabidhi bweni la wanafunzi Shule ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija, Shinyanga
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6NUTDXOWsS4/XnOUOMoTFmI/AAAAAAALkek/vDBppIQbJTMQaXyyu2qXENuiYmi5aVcqwCLcBGAsYHQ/s72-c/99b625c4-e539-4c8c-a622-78ad9c5d861f.jpg)
SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.
Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Msafara wa RC Geita wapata ajali
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Geita, Seveline Kahitwa, amejeruhiwa vibaya na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, katika ajali iliyotokea juzi Kijiji cha Bugulula. Katika...
10 years ago
Habarileo12 Aug
Wenye ulemavu watoa ya moyoni
WATU wenye ulemavu wameomba vyama vya siasa kutowachanganya na wasio na ulemavu kwenye kura za maoni kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa kutokana na ugumu wanaopata katika kushinda nafasi hizo.
11 years ago
Habarileo21 Apr
‘Tembeleeni wenye ulemavu Buhangija’
WAZAZI na walezi waliopeleka watoto wao katika kituo maalumu cha kulelea watoto wenye ulemavu Buhangija katika Manispaa ya Shinyanga, wameombwa kujenga desturi ya kuwatembelea watoto hao.
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
90% wenye ulemavu hawana elimu
ZAIDI ya asilimia 90 ya walemavu wote wilayani Urambo, Tabora hawajasoma kutokana na mazingira duni ya kuipata elimu. Wilaya hiyo ina wenye ulemavu zaidi ya 900, kati yao watu 860...
10 years ago
Habarileo29 Jan
Wenye ulemavu wahimizwa kutojinyanyapaa
WANAFUNZI wenye ulemavu mbalimbali wanaosoma na kulelewa katika kituo cha shule ya msingi Mugeza Museto Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera wameshauriwa kutumia muda wao mwingi katika masomo ili kupata ufaulu mkubwa na kutojinyanyapaa kuwa wao ni tofauti na wengine.
10 years ago
Habarileo30 Dec
Wenye ulemavu waomba kusaidiwa
HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imeombwa kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kusaidia manunuzi ya vifaa visaidizi kwa ajili ya watu wenye ulemavu.