Msafara wa RC Geita wapata ajali
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Geita, Seveline Kahitwa, amejeruhiwa vibaya na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, katika ajali iliyotokea juzi Kijiji cha Bugulula. Katika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MSAFARA WA MAALIM SEIF WAPATA AJALI
Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi. Habari zinasema msafara wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi umepata ajali ukihusisha magari mawili ya msafara wa kiongozi huyo ambayo jumla yake yalikuwa saba yalipogongana na lori lenye tela.  Akizungumza na mtandao huu, Mkurughenzi wa Habari wa CUf, Adam Kambaya alisema iongozi wawili wa CUF, katibu wa wilaya ya...
10 years ago
Michuzi
Msafara wa Spika wapata ajali Njombe

10 years ago
Mwananchi07 Jun
Msafara wa Makongoro Nyerere wapata ajali Kigoma
Msafara wa kada wa CCM, Makongoro Nyerere jana ulipata ajali baada ya gari moja kupinduka na kusababisha watu watano kujeruhiwa katika eneo la Mwilamvya, nje kidogo ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma.
11 years ago
Mwananchi07 Sep
Msafara wa Maalim Seif wapata ajali Mwanza
>Msafara wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad umepata ajali kwenye Wilaya ya Misungwi mkoani hapa wakati wakielekea Wilaya ya Kwimba kwenye mjini wa Ngudu kwenye mkutano wa hadhara.
10 years ago
GPL
MSAFARA WA MAKONGORO NYERERE WAPATA AJALI KASULU - KIGOMA
Gari lilivyopata ajali. Wananchi wa Kasulu na Jeshi la Polisi wakiwa katika eneo la tukio. MSAFARA wa Makongoro Nyerere ambaye ni miongoni mwa wagombea urais, umepata ajali ya kupinduka kwa gari wilayani Kasulu mkoani Kigoma leo. Ajali hiyo imetokea wakati Makongoro na msafara wake walipokuwa wakitoka mkoani Geita kuelekea Kigoma ikiwa ni katika harakati za kusaka wadhamini wake watakaomuwezesha kujaza fomu kuwania urais....
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Msafara wa RC Moro wapata ajali, meya na waandishi waumia
Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajabu Rutengwe umepata ajali jana saa 9.30 alasiri eneo la Mizambarauni Darajani barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro.
10 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZ......: msafara wa makongoro nyerere wapata ajali mbaya mkoani kigoma
Msafara wa mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Charles Makongoro Nyerere umepata ajali wilayani Kasulu mkoani kigoma mapema leo hii.
Msafara huo uliokuwa ukielekea wilayani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini, ambapo gari walilokuwa wamepanda wasaidizi wa Makongoro ndilo lililopata ajali kwa kupinduka wakati likiwa kwenye mwendo.
Watu waliokuwepo katika gari hilo lililopata ajali wameumia vibaya sana akiwemo Mwandishi wa habari, Cyprian Musiba na kukimbizwa...

Vijimambo
BREAKING NEWS: MSAFARA WA MAKONGORO NYERERE WAPATA AJALI MBAYA MKOANI KIGOMA

Msafara wa mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Charles Makongoro Nyerere umepata ajali wilayani Kasulu mkoani kigoma mapema leo hii.
Msafara huo uliokuwa ukielekea wilayani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini, ambapo gari walilokuwa wamepanda wasaidizi wa Makongoro ndilo lililopata ajali kwa kupinduka wakati likiwa kwenye mwendo.
Watu waliokuwepo...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Vijana wengi wapata mafunzo juu ya maisha na kujiajili katika Kongamano la Msafara lililofanyika UDSM
Msanii wa sanaa za Maonesho Vanensia Shule, ambaye pia ni Mkufunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam upande wa sanaa na Filamu akielezea jinsi Sanaa inavyoweza kumkomboa kijana na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania