Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msafara wa RC Moro wapata ajali, meya na waandishi waumia

Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajabu Rutengwe umepata ajali jana saa 9.30 alasiri eneo la Mizambarauni Darajani barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MEYA MANISPAA MOROGORO, WAANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ( wa kwanza kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Morogoro , Said Amanzi , wakipita eneo ambalo gari la namba SM 4151 Nissan iliyokuwa ikitumiwa na Meya wa Manispaa ya Morogoro, Amir Nondo , ilipogongwa Januari 30, mwaka huu saa 9: 30 alasiri eneo la Mzambarauni Darajani -Msamvu barabara kuu ya Moro- Dar na Basi la Abiria aina ya Scania yenye namba za usajili T 831 CEH (Happy Africa ),iliyokuwa ikitokea mkoani Njombe kwenda Dar es Salaam .Meya huyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msafara wa RC Geita wapata ajali

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Geita, Seveline Kahitwa, amejeruhiwa vibaya na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, katika ajali iliyotokea juzi Kijiji cha Bugulula. Katika...

 

10 years ago

GPL

MSAFARA WA MAALIM SEIF WAPATA AJALI

Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi. Habari zinasema msafara wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi umepata ajali ukihusisha magari mawili ya msafara wa kiongozi huyo ambayo jumla yake yalikuwa saba yalipogongana na lori lenye tela.  Akizungumza na mtandao huu, Mkurughenzi wa Habari wa CUf, Adam Kambaya alisema  iongozi wawili wa CUF, katibu wa wilaya ya...

 

9 years ago

Michuzi

Msafara wa Spika wapata ajali Njombe

Gari ya ziada katika msafara wa Spika wa Bunge ikiwa imepinduka wakati wakiwa njiani kuelekea katika mazishi ya Marehemu Deo Filikunjombe huko Ludewa. Ajali hiyo imewahusisha Mlinzi wa Spila, Alphonse Mwakasege, Naibu Katibu wa Spika,Herman Berege na   Mbunge wa Mafia anaemaliza muda wake, Mhe Abdulkarim Shah. Abiria wote wamepata majeraha madogo madogo na waliokolewa katika eneo hilo na Mhe William Lukuvi, Mb na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi. Picha kwa hisani ya Ofisi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Msafara wa Maalim Seif wapata ajali Mwanza

>Msafara wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad umepata ajali kwenye Wilaya ya Misungwi mkoani hapa wakati wakielekea Wilaya ya Kwimba kwenye mjini wa Ngudu kwenye mkutano wa hadhara.

 

10 years ago

Mwananchi

Msafara wa Makongoro Nyerere wapata ajali Kigoma

Msafara wa kada wa CCM, Makongoro Nyerere jana ulipata ajali baada ya gari moja kupinduka na kusababisha watu watano kujeruhiwa katika eneo la Mwilamvya, nje kidogo ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma.

 

10 years ago

GPL

MSAFARA WA MAKONGORO NYERERE WAPATA AJALI KASULU - KIGOMA

Gari lilivyopata ajali. Wananchi wa Kasulu na Jeshi la Polisi wakiwa katika eneo la tukio. MSAFARA wa Makongoro Nyerere ambaye ni miongoni mwa wagombea urais, umepata ajali ya kupinduka kwa gari wilayani Kasulu mkoani Kigoma leo. Ajali hiyo imetokea wakati Makongoro na msafara wake walipokuwa wakitoka mkoani Geita kuelekea Kigoma ikiwa ni katika harakati za kusaka wadhamini wake watakaomuwezesha kujaza fomu kuwania urais....

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ......: msafara wa makongoro nyerere wapata ajali mbaya mkoani kigoma

Msafara wa mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Charles Makongoro Nyerere umepata ajali wilayani Kasulu mkoani kigoma mapema leo hii.
Msafara huo uliokuwa ukielekea wilayani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini, ambapo gari walilokuwa wamepanda wasaidizi wa Makongoro ndilo lililopata ajali kwa kupinduka wakati likiwa kwenye mwendo.
Watu waliokuwepo katika gari hilo lililopata ajali wameumia vibaya sana akiwemo Mwandishi wa habari, Cyprian Musiba na kukimbizwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MSAFARA WA MAKONGORO NYERERE WAPATA AJALI MBAYA MKOANI KIGOMA

Gari lililopata ajali katika msafara wa Mgombea urais, Charles Makongoro Nyerere lililokuwa limebeba wasaidizi wake.
Msafara wa mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Charles Makongoro Nyerere umepata ajali wilayani Kasulu mkoani kigoma mapema leo hii.
Msafara huo uliokuwa ukielekea wilayani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini, ambapo gari walilokuwa wamepanda wasaidizi wa Makongoro ndilo lililopata ajali kwa kupinduka wakati likiwa kwenye mwendo.
Watu waliokuwepo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani