Msafara wa Spika wapata ajali Njombe
Gari ya ziada katika msafara wa Spika wa Bunge ikiwa imepinduka wakati wakiwa njiani kuelekea katika mazishi ya Marehemu Deo Filikunjombe huko Ludewa. Ajali hiyo imewahusisha Mlinzi wa Spila, Alphonse Mwakasege, Naibu Katibu wa Spika,Herman Berege na Mbunge wa Mafia anaemaliza muda wake, Mhe Abdulkarim Shah. Abiria wote wamepata majeraha madogo madogo na waliokolewa katika eneo hilo na Mhe William Lukuvi, Mb na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi. Picha kwa hisani ya Ofisi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Msafara wa RC Geita wapata ajali
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Geita, Seveline Kahitwa, amejeruhiwa vibaya na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, katika ajali iliyotokea juzi Kijiji cha Bugulula. Katika...
10 years ago
GPLMSAFARA WA MAALIM SEIF WAPATA AJALI
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Msafara wa Makongoro Nyerere wapata ajali Kigoma
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Msafara wa Maalim Seif wapata ajali Mwanza
10 years ago
GPLMSAFARA WA MAKONGORO NYERERE WAPATA AJALI KASULU - KIGOMA
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Msafara wa RC Moro wapata ajali, meya na waandishi waumia
10 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: MSAFARA WA MAKONGORO NYERERE WAPATA AJALI MBAYA MKOANI KIGOMA
Msafara wa mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Charles Makongoro Nyerere umepata ajali wilayani Kasulu mkoani kigoma mapema leo hii.
Msafara huo uliokuwa ukielekea wilayani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini, ambapo gari walilokuwa wamepanda wasaidizi wa Makongoro ndilo lililopata ajali kwa kupinduka wakati likiwa kwenye mwendo.
Watu waliokuwepo...
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ......: msafara wa makongoro nyerere wapata ajali mbaya mkoani kigoma
Msafara huo uliokuwa ukielekea wilayani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini, ambapo gari walilokuwa wamepanda wasaidizi wa Makongoro ndilo lililopata ajali kwa kupinduka wakati likiwa kwenye mwendo.
Watu waliokuwepo katika gari hilo lililopata ajali wameumia vibaya sana akiwemo Mwandishi wa habari, Cyprian Musiba na kukimbizwa...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Vijana wengi wapata mafunzo juu ya maisha na kujiajili katika Kongamano la Msafara lililofanyika UDSM
Msanii wa sanaa za Maonesho Vanensia Shule, ambaye pia ni Mkufunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam upande wa sanaa na Filamu akielezea jinsi Sanaa inavyoweza kumkomboa kijana na...