MSAFARA WA MAKONGORO NYERERE WAPATA AJALI KASULU - KIGOMA
![](http://api.ning.com:80/files/Bsue-*vlnnYDaJpK-gem98JcxdSepBmLOQrtW6E*KWcQ6D74eJHQFlfPaSiwYB1SskUndM5UzlMq3v8iHpc4qkInYA1wUFaN/attachment.jpg?width=650)
Gari lilivyopata ajali. Wananchi wa Kasulu na Jeshi la Polisi wakiwa katika eneo la tukio. MSAFARA wa Makongoro Nyerere ambaye ni miongoni mwa wagombea urais, umepata ajali ya kupinduka kwa gari wilayani Kasulu mkoani Kigoma leo. Ajali hiyo imetokea wakati Makongoro na msafara wake walipokuwa wakitoka mkoani Geita kuelekea Kigoma ikiwa ni katika harakati za kusaka wadhamini wake watakaomuwezesha kujaza fomu kuwania urais....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Msafara wa Makongoro Nyerere wapata ajali Kigoma
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-909DSnCrulk/VXLVBK8mhLI/AAAAAAAHcdI/pyKRlTv1h_E/s72-c/20150606040817.jpg)
BREAKING NEWS: MSAFARA WA MAKONGORO NYERERE WAPATA AJALI MBAYA MKOANI KIGOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-909DSnCrulk/VXLVBK8mhLI/AAAAAAAHcdI/pyKRlTv1h_E/s640/20150606040817.jpg)
Msafara wa mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Charles Makongoro Nyerere umepata ajali wilayani Kasulu mkoani kigoma mapema leo hii.
Msafara huo uliokuwa ukielekea wilayani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini, ambapo gari walilokuwa wamepanda wasaidizi wa Makongoro ndilo lililopata ajali kwa kupinduka wakati likiwa kwenye mwendo.
Watu waliokuwepo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-909DSnCrulk/VXLVBK8mhLI/AAAAAAAHcdI/pyKRlTv1h_E/s72-c/20150606040817.jpg)
BREAKING NYUZZZZ......: msafara wa makongoro nyerere wapata ajali mbaya mkoani kigoma
Msafara huo uliokuwa ukielekea wilayani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini, ambapo gari walilokuwa wamepanda wasaidizi wa Makongoro ndilo lililopata ajali kwa kupinduka wakati likiwa kwenye mwendo.
Watu waliokuwepo katika gari hilo lililopata ajali wameumia vibaya sana akiwemo Mwandishi wa habari, Cyprian Musiba na kukimbizwa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Msafara wa RC Geita wapata ajali
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Geita, Seveline Kahitwa, amejeruhiwa vibaya na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, katika ajali iliyotokea juzi Kijiji cha Bugulula. Katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08csMAtQ7T*pA58r-UGJ1jGOl2yLVk-QVVR7WQ9zIaI5hKiAEY5Y1DXDDfnPDXaIA4wDLusAYPTQNDZDO7E2aAeMV/breakingnews.gif)
MSAFARA WA MAALIM SEIF WAPATA AJALI
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-BCQrR-zNUiM/ViP62ij_H_I/AAAAAAAIAxo/7vl328i9oTw/s72-c/unnamed%2B%252868%2529.jpg)
Msafara wa Spika wapata ajali Njombe
![](http://4.bp.blogspot.com/-BCQrR-zNUiM/ViP62ij_H_I/AAAAAAAIAxo/7vl328i9oTw/s640/unnamed%2B%252868%2529.jpg)
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Msafara wa Maalim Seif wapata ajali Mwanza
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Msafara wa RC Moro wapata ajali, meya na waandishi waumia
10 years ago
Habarileo07 Jun
Makongoro Nyerere apata ajali
MSAFARA wa mmoja wa watangaza nia ya nafasi ya urais, Charles Makongoro Nyerere, aliyekuwepo katika Mkoa wa Kigoma umepata ajali ambapo watu watano wamejeruhiwa.