Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHAMSA, BOZI; KUSHOBOKEA WENYE NAZO KUTAWATOKEA PUANI!

KUNA muigizaji mmoja mkubwa nafahamu sana uwezo wake na katika siku za hivi karibuni, amekuwa akinivutia baada ya kumtazama katika kazi zake kadhaa, Shamsa Ford. Halafu kuna huyu mwingine, Fatma Ayoub maarufu kama Bozi, naye anajitahidi kiasi chake. Kwa nyakati tofauti wametoa kauli zilizonifanya nifikirie mara mbilimbili; kwamba wao wanahitaji kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wanaume wenye nazo, kwa sababu hawa akina pangu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kivazi kifupi chamtokea puani Shamsa Ford

12269858_889140661207376_931862099_n

Muigizaji wa filamu, Shamsa Ford ameonja joto la jiwe hivi karibuni baada ya kuambulia matusi katika mtandao wa Instagram kutokana na kuvaa kivazi kifupi akiwa mbele ya mtoto wake wa kiume.

12269858_889140661207376_931862099_n

Muigizaji huyo mahiri wa filamu ya Chausiku na Bado na Tafuta, ametoa ya moyoni kupitia mtandao huo baada ya kutukanwa na mashabiki.

“Maisha yangu hayawahusu. Ukiona hufulahishwi na chochote toka kwangu ni unfollow. Hukulazimishwa kunifollow. Yaani kuniona kwenye movie ndo mnajifanya mnanijua mpaka...

 

11 years ago

GPL

BATULI APINGA KUFUTURISHA WENYE NAZO

Na Hamida Hassan MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ametamka kuwa hakubaliani kabisa na wale mastaa wenye tabia za kufuturisha watu wenye uwezo mkubwa kiuchumi. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ Akizungumza na paparazi wetu, Batuli alisema anaamini kwamba twawabu nzuri zinapatikana kwa kufuturisha watu wenye mahitaji kama watoto yatima na ndiyo maana yeye...

 

9 years ago

Bongo5

Ray: Uchaguzi umenifanya niwajue wasanii wenye akili na wasiokuwa nazo

Muigizaji wa filamu, Vicent Kigosi maarufu kama Ray amesema kupitia uchaguzi mwak mwaka huu ameweza kuwafahamu wasanii mwenye akili na wasiokuwa nazo. Ray kupitia ukurasa wake wa Instagram muigizaji huyo aliandika: FREEDOM OF SPEECH Kuna vitu vingi sana nimegundua kwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili […]

 

10 years ago

GPL

ACHA KUSHOBOKEA MAGARI!

MAISHA yana-badilika kwa kasi sana kwani kadiri siku zinavyokwenda, mapenzi yamebadilika kutoka katika upendo hadi kuwa kitu ambacho kwa mujibu, asilimia kubwa ni fedha. Watu hawavutiki tena katika uhusiano wa kimapenzi kwa sababu ya kuthamini na kupenda , bali kwa kutazama kitu kutoka kwa anayehitaji na magari yanatajwa kuwa ulimbo mkali unaowanasa vijana wengi. Jamii tunayoishi hivi sasa imezoea kuona wanawake wakiwa ndiyo...

 

10 years ago

GPL

ACHA KUSHOBOKEA MAGARI!-2

Kama kawa kama dawa mpenzi msomaji wa safu hii ambayo imekuwa ikikuletea mambo matamu yahusuyo ulimwengu wa wapendanao, leo tunaendelea na sehemu ya mwisho ya mada yetu ambayo tuliianza wiki iliyopita. Kwa sababu ya kupenda kwao magari, vijana wa kike na kiume hujikuta wakiachana na wenza wa ndoto zao ambao wangeweza kutengeneza wote maisha, badala yake wanakimbilia kwa mapedeshee au mashugamami ambao kimsingi hawawi na mapenzi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa

Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford  na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.

Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...

 

10 years ago

GPL

PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO

Musa mateja na imelda mtema
Penzi matata linalowanyima usingizi baadhi ya watu mjini kwa sasa kati ya mwigizaji wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford na mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe, Ijumaa limesheheni. Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego na Shamsa Ford wakipozi kimahaba. TATIZO MAHABA NIUE
...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajikuta na mdudu mnyonyaji puani

Mdudu huyo alikuwa na urefu wa nchi 3. Mwanadada huyo aligundua uwepo wa mdudu huyo katika pua lake baada ya kurejea kutoka katika safari yake ya bara Asia.

 

9 years ago

GPL

BOZI, ALLY NIPISHE WAMWAGANA

Mayasa Mariwata
Kwisha habari! Msanii wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ na mwandani wake ambaye ni Mbongo-Fleva, Ally Nipishe, wamemwagana kwa kile kilichodaiwa kuwa, jamaa huyo anapenda kulelewa. Msanii wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu `Bozi’. Kwa mujibu wa chanzo kilichopo karibu ya wawili hao, Ally Nipishe alikuwa akiishi kwa Bozi maeneo ya Kinondoni-Mkwajuni, Dar ambapo hivi karibuni wametifuana baada ya Bozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani