Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajikuta na mdudu mnyonyaji puani

Mdudu huyo alikuwa na urefu wa nchi 3. Mwanadada huyo aligundua uwepo wa mdudu huyo katika pua lake baada ya kurejea kutoka katika safari yake ya bara Asia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Mdudu wa Yanga aitibulia Simba

kerr kazini simba 34NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amesema kipigo walichopigwa na mahasimu wao Yanga kimewaathiri wachezaji wake na kuwafanya wacheze chini ya kiwango dhidi ya Stand United juzi kwa kukosa umakini uwanjani.

Wekundu hao wa Msimbazi walishuka dimbani kuikabili Stand United juzi na kushinda bao 1-0 lililofungwa na Joseph Kimwaga, wakitoka kufungwa mabao 2-0 dhidi hasimu wake Yanga.

Ushindi huo umeifanya Simba kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius ajikuta pabaya klabuni

Mwanariadha Oscar Pistorius, amedaiwa kuhusika katika malumbano ndani ya klabu moja nyakati za usiku nchini Afrika Kusini

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha mbaguzi ajikuta matatani

Mkufunzi wa timu ya Rostov, Igor Gamula amesimamishwa kazi kwa kipindi cha wiki tano baada ya kupatikana na hatia ya kutoa maoni ya kibaguzi, Shirikisho la soka nchini Urusi limesema.

 

11 years ago

GPL

NAY NDIYE ‘MDUDU’ NDOA YA WEMA

Stori: Shakoor Jongo IMEVUJA kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’ asioe kwa sasa ili asishuke kimuziki. Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Ushauri huo umekuwa mwiba kwa mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu ambaye amekuwa na ndoto ya kuolewa na staa huyo anayekimbiza kitaani na wimbo wake wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MBWEMBWE ZA KUMPOSA MCHUMBA WAKE ZAMTOKEA PUANI

'Kreni' ilitumbukia ndani ya nyumba wakati ikimbeba mwanamume aliyekuwa anamposa mpenzi wake
Mwanamume mmoja raia wa udachi amejikuta akikimbilia usalama wake baada ya jaribio la kutaka kumposa mpenzi wake kwa mbwembwe kwenda mrama.

Mtu huyo ambaye hakutajwa kwa jina anayeishi mjini Ijsselstein alikodisha 'kreni' au Crane na kuipanda akipanga kwamba kreni hilo imtoe chini na kumpanidhs hadi dirishani mwa mpenzi wake ambapo angemchezea wimbo na kisha kumposa.

Badala yake yaliyomkuta...

 

9 years ago

Bongo5

Kivazi kifupi chamtokea puani Shamsa Ford

12269858_889140661207376_931862099_n

Muigizaji wa filamu, Shamsa Ford ameonja joto la jiwe hivi karibuni baada ya kuambulia matusi katika mtandao wa Instagram kutokana na kuvaa kivazi kifupi akiwa mbele ya mtoto wake wa kiume.

12269858_889140661207376_931862099_n

Muigizaji huyo mahiri wa filamu ya Chausiku na Bado na Tafuta, ametoa ya moyoni kupitia mtandao huo baada ya kutukanwa na mashabiki.

“Maisha yangu hayawahusu. Ukiona hufulahishwi na chochote toka kwangu ni unfollow. Hukulazimishwa kunifollow. Yaani kuniona kwenye movie ndo mnajifanya mnanijua mpaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Funza zaidi ya mia moja wabainika puani

Funza zaidi ya mia moja wakutwa puani kwa mwanamume mmoja nchini Brasil.atibiwa na kupona .

 

10 years ago

GPL

SHAMSA, BOZI; KUSHOBOKEA WENYE NAZO KUTAWATOKEA PUANI!

KUNA muigizaji mmoja mkubwa nafahamu sana uwezo wake na katika siku za hivi karibuni, amekuwa akinivutia baada ya kumtazama katika kazi zake kadhaa, Shamsa Ford. Halafu kuna huyu mwingine, Fatma Ayoub maarufu kama Bozi, naye anajitahidi kiasi chake. Kwa nyakati tofauti wametoa kauli zilizonifanya nifikirie mara mbilimbili; kwamba wao wanahitaji kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wanaume wenye nazo, kwa sababu hawa akina pangu...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AUWAWA KWA KUFUNGWA PLASTA MDOMONI NA PUANI

Mtoto aliyekutwa amefariki baada ya kutupwa eneo la Kawe-Beach na kufungwa plasta mdomoni na puani.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani