Kocha mbaguzi ajikuta matatani
Mkufunzi wa timu ya Rostov, Igor Gamula amesimamishwa kazi kwa kipindi cha wiki tano baada ya kupatikana na hatia ya kutoa maoni ya kibaguzi, Shirikisho la soka nchini Urusi limesema.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Kocha Mwambusi matatani Mbeya
Baadhi ya wadau na wapenzi wa Mbeya City wametoa ya mioyoni mwao wakisema falsafa na kiwango cha ufundishaji cha kocha Juma Mwambusi kimefikia mwisho na kusababisha timu hiyo kusuasua na kujikongoja kwenye Ligi Kuu msimu huu.
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Mwanamke mbaguzi achunguzwa Australia
Polisi nchini Australia wanamchunguza mwanamke anayedaiwa kuwatusi abiria wenzake matusi ya kibaguzi mjini Sydney.
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Pistorius ajikuta pabaya klabuni
Mwanariadha Oscar Pistorius, amedaiwa kuhusika katika malumbano ndani ya klabu moja nyakati za usiku nchini Afrika Kusini
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Ajikuta na mdudu mnyonyaji puani
Mdudu huyo alikuwa na urefu wa nchi 3. Mwanadada huyo aligundua uwepo wa mdudu huyo katika pua lake baada ya kurejea kutoka katika safari yake ya bara Asia.
10 years ago
Vijimambo09 Mar
KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/kocha-640x360.jpg)
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/kochaa-640x360.jpg)
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Dk Mwaka matatani
Naibu Waziri wa Afya, Dk Hamisi Kigwangalla ametoa siku saba kwa Baraza la Tiba Asilia kuchunguza huduma zinazotolewa kwenye kliniki ya Foreplan Herbal ya tiba mbadala inayomilikiwa na Dk Juma Mwaka. Â Â Â
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
TBS matatani
SHIRIKA la Viwango nchini (TBS) limeingia kwenye kashfa ya kuvikingia kifua viwanda vinavyozalisha na kusambaza bidhaa zisizokidhi viwango, jambo ambalo linaweza kuhatarisha maisha ya wananchi wengi kutokana na baadhi ya...
10 years ago
BBCSwahili13 Nov
Zuma matatani
Upinzani nchini Afrika Kusini unatarajia kuwasilisha bungeni hoja ya kutaka kumuondoa madarakani rais wa nchi hiyo.
11 years ago
Mwananchi29 Dec
Wabunge 15 matatani
>Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaanika wabunge 15, waliobainika kuchukua posho za safari bila kusafiri huku wengine wakikatisha safari zao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania