Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Mwambusi matatani Mbeya

Baadhi ya wadau na wapenzi wa Mbeya City wametoa ya mioyoni mwao wakisema falsafa na kiwango cha ufundishaji cha kocha Juma Mwambusi kimefikia mwisho na kusababisha timu hiyo kusuasua na kujikongoja kwenye Ligi Kuu msimu huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mwambusi bado anaaminika Mbeya City

Uongozi wa Mbeya City umesema hauna wazo la kuachana na kocha wao mkuu, Juma Mwambusi licha ya kufanya vibaya kwenye mechi saba za mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwambusi Kocha Bora 2013/14

KOCHA wa timu ya Mbeya City, Juma Mwambusi, ameibuka Kocha Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara iliyofikia tamati Aprili 19, mwaka huu. Kwa ushindi huo, Mwambusi alijitwalia kitita cha sh...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mwambusi kutua Yanga leo

Safari ya kocha wa Mbeya City kutua Yanga imeiva baada ya jana kuwaaga rasmi wachezaji wake mazoezini.

 

10 years ago

StarTV

Kocha Juma Mwambusi akiri ligi  kuu ngumu.

Matokeo mabaya kwa timu ya  Mbeya City yamendelea kumtia  unyonge  kocha wa timu hiyo Juma Mwambusi na kueleza bayana ligi kuu ya Vodacom  ni ngumu msimu  huu wakati kocha msaidizi wa Stand United  Athumani Bilal akifurahia kwa timu yake  kufikisha pointi 9.

Makocha  hao  wametoa kauli hizo baada ya mchezo wa timu za Stand United na Mbeya City uliofanyika Jumapili  katika dimba la CMM Kambarage mjini Shinyanga na wenyeji Stand waliibuka na ushindi wa bao 1 – 0.

Mchezo ulikuwa muhimu kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwambusi, Omog wapigiwa upatu Tuzo ya Kocha Bora VPL 2013/14

WADAU wa soka nchini wamempigia chapuo Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi, kuwa ndiye kocha bora katika Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), msimu wa 2013/14. Mbali na Mwambusi, kocha mwingine...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwambusi aduwaza viongozi Mbeya

Uongozi wa Klabu ya Mbeya City umesema kuwa umeshtushwa na taarifa za Kocha Mkuu wa timu hiyo, Juma Mwambusi za kubwaga manyanga huku ukisisitiza kutopokea barua yoyote kutoka kwa kocha huyo ya kuachia ngazi.

 

10 years ago

Habarileo

Mbeya City kuendelea na Mwambusi

UONGOZI wa klabu ya Mbeya City unajipanga kusaini mkataba mpya na kocha Juma Mwambusi baada ya kufikia makubaliano kati ya pande zote mbili mwishoni mwa juma hili.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwambusi ajiengua Mbeya City

Kocha Juma Mwambusi ameuandikia barua uongozi wa Mbeya City ya kubwaga manyanga kuinoa timu hiyo kwa kuchoshwa na kelele za shutuma dhidi yake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwambusi azua balaa Mbeya City

UAMUZI wa kujiuzulu kuinoa klabu ya Mbeya City aliochukua kocha mkuu Juma Mwambusi, umeibua hali ya sintofahamu ndani ya kikosi hicho, huku uongozi wa juu wa timu hiyo ukisisitiza kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani