Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwambusi, Omog wapigiwa upatu Tuzo ya Kocha Bora VPL 2013/14

WADAU wa soka nchini wamempigia chapuo Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi, kuwa ndiye kocha bora katika Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), msimu wa 2013/14. Mbali na Mwambusi, kocha mwingine...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwambusi Kocha Bora 2013/14

KOCHA wa timu ya Mbeya City, Juma Mwambusi, ameibuka Kocha Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara iliyofikia tamati Aprili 19, mwaka huu. Kwa ushindi huo, Mwambusi alijitwalia kitita cha sh...

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani wapigiwa upatu Venezuela

Watu wa Venezuela wanapiga kura katika uchaguzi ambao unaonekana kuwa changamoto kubwa zaidi kukabili chama tawala cha Socialist

 

11 years ago

GPL

USIKU WA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/2014

Dk. Maria Kamm akiwasii ndani ya Ukumbi wa African Dreams. Mama Magreth Sitta (kushoto) akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa alipowasili ukumbini.…

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES ZA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA 2013/2014 NA MEDIA DAY BONAZA

MIFUKO ya hifadhi ya Jamii ya NSSF na PSPF imejitokeza kudhamini tuzo za Wanamichezo Bora wa Tanzania ambazo zitafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP), Dar es Salaam, zikiandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA).Udhamini wa PSPF katika tuzo hizo ni Sh. Milioni tano, wakati NSSF imetoa Sh. Milioni mbili, hivyo kufanya fedha taslimu ambazo hadi sasa TASWA imepata kufikia Sh. Milioni 37. Wadhamini wengine ni Kampuni ya Said Salim Bakhresa...

 

11 years ago

GPL

DK. MARIA KAMM NDIYE MSHINDI WA TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14

Dk. Maria Kamm ametwaa tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 iliyotolewa na Global Publishers akiwashinda Dk. Migiro, Prof. Tibaijuka na Anne Kilango!

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 YAPAMBA MOTO

Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D mkoani Dodoma litakapofanyika zoezi la utoaji tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 leo jioni. Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (katikati) akiweka mambo sawa ndani ya ukumbi wa African Dreams. Kushoto Ofisa Masoko wa Global, Benjamin Mwanambuu na MC wa shughuli ya leo, George Urio…

 

11 years ago

Michuzi

TBL YAIBUKA MSHINDI WA PILI TUZO ZA MZALISHAJI BORA WA MWAKA 2013

Rais Jakaya Kikwete akikabidhi kombe  kwa mshindi wa pili wa tuzo wa mzalishaji bora wa mwaka 2013, kwa  Mkurugenzi wa Huduma ya Makampuni na Masuala ya Sheria wa kampuni ya Bia ya TBL, Stephen  Kilindo wakati wa hafla ya makabidhiano ya tuzo hizo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wenye Viwanda Tanzania (CTI), Dk. Samwel Nyantahe ( wa pili kulia)  wakati wa kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa CTI, Dk. Reginald Mengi ambaye ni Mwenyekiti...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vaan atwaa tuzo ya kocha bora- holland

Louis van Gaal ameteuliwa kuwa kocha bora wa mwaka baada ya kufika nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia nchi Brazil.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani