UPDATES ZA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA 2013/2014 NA MEDIA DAY BONAZA

MIFUKO ya hifadhi ya Jamii ya NSSF na PSPF imejitokeza kudhamini tuzo za Wanamichezo Bora wa Tanzania ambazo zitafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP), Dar es Salaam, zikiandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA).Udhamini wa PSPF katika tuzo hizo ni Sh. Milioni tano, wakati NSSF imetoa Sh. Milioni mbili, hivyo kufanya fedha taslimu ambazo hadi sasa TASWA imepata kufikia Sh. Milioni 37. Wadhamini wengine ni Kampuni ya Said Salim Bakhresa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLUSIKU WA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/2014
11 years ago
GPL
MABORESHO TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
11 years ago
Michuzi19 Mar
TASWA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) iliyokutana jijini Dar es Salaam wiki iliyopita ilikubaliana kufanya mabadiliko makubwa katika Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa kila mwaka na TASWA. Kikao kilijiridhisha kuwa tuzo za TASWA zina heshima kubwa na wanamichezo hapa nchini wanazithamini na kuzitegemea kuliko tuzo za aina nyingine zozote. Lakini kikao kilikubaliana kuwa pamoja na hayo bado kuna changamoto mbalimbali kuhusiana...
10 years ago
Michuzi
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro yaipiga jeki taswa katika tuzo za Wanamichezo Bora

Tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA zinatarajiwa kufanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo pia TASWA itatoa Tuzo ya Heshima kwa Rais Kikwete ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa sekta ya michezo katika uongozi...
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Dk. Shein kukabidhi Tuzo kwa Wanamichezo Bora Tanzania ndani ukumbi wa Diamond Jubilee hapo kesho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein.
MAANDALIZI kwa ajili ya Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania, zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) yamekamilika.
Tuzo hizo zitatolewa kesho Ijumaa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, kuanzia saa 12 jioni, ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein.
Wanamichezo mbalimbali wanatarajiwa kupewa tuzo hizo kutokana...
11 years ago
GPL30 Mar
11 years ago
Michuzi
TBL YAIBUKA MSHINDI WA PILI TUZO ZA MZALISHAJI BORA WA MWAKA 2013
