Dk. Shein kukabidhi Tuzo kwa Wanamichezo Bora Tanzania ndani ukumbi wa Diamond Jubilee hapo kesho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein.
MAANDALIZI kwa ajili ya Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania, zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) yamekamilika.
Tuzo hizo zitatolewa kesho Ijumaa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, kuanzia saa 12 jioni, ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein.
Wanamichezo mbalimbali wanatarajiwa kupewa tuzo hizo kutokana...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdgRKtgNGUal5F5WF4SdbLY*BeOLx3u*qe3AutEKH3QpA6hQYIMYhhnwcPYrFnFVtFzW7PpxvbYUs8NH4*mxAed3/platnumz.jpg?width=650)
DIAMOND NDANI YA LAGOS, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU KESHO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA ALBAMU TATU ZA MWAITEGE NI KESHO UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE, WAIMBAJI WATAKAO MSINDIKIZA WATAMBULISHWA
10 years ago
Vijimambo07 Jan
DIAMOND NDANI YA LAGOS NCHINI NIGERIA, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU KESHO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA
![](http://api.ning.com/files/9nG191KtIdgRKtgNGUal5F5WF4SdbLY*BeOLx3u*qe3AutEKH3QpA6hQYIMYhhnwcPYrFnFVtFzW7PpxvbYUs8NH4*mxAed3/platnumz.jpg?width=650)
10 years ago
Dewji Blog11 Jul
Onesho la Young Scientists Tanzania (YST) kwa mwaka 2015 kufanyika tarehe 05-07 mwezi wa nane katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Mkurugenzi wa Chama cha Wanasayansi vijana wa Tanzania, Dk.Kamugisha Gozibert akizungumza na waandishi wa habari(hawapo picha) kuhusu onesho la Young Scientists Tanzania (YST) kwa mwaka wa 2015 na kueleza kuwa onesho ilo litafanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe 5 hadi 7 August 2015 ambapo wanafunzi wataweza kuonesha tafiti za kisayansi na kitekinologia zilifanywa na wanafunzi wa sekondari kwa takribani mwaka mmoja.
Mwakilishi wa Ubalozi wa Ireland...
10 years ago
VijimamboONESHO LA YOUNG SCIENTISTS TANZANIA (YST) KWA MWAKA 2015 KUFANYIKA TAREHE 05 MPAKA 07 MWEZI WA NANE KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQJxCeZQUHeath3-7miOSM5zvjq*R7XVotZ*2btP86Kco371JCqLFhtWMdxX0RvpP-t3rS5Iajdr4uQ*x8ZTOPAJ/TASWALOGO.jpg)
MABORESHO TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
9 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-OrC_QQvbhL0/VdT0BMGbpHI/AAAAAAAHydc/3Queq-kNNm8/s640/IMGS0167.jpg)
MAGUFULI ALIPOTAMBULISHWA KWA WAZEE WA DAR, UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE