Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Juma Mwambusi akiri ligi  kuu ngumu.

Matokeo mabaya kwa timu ya  Mbeya City yamendelea kumtia  unyonge  kocha wa timu hiyo Juma Mwambusi na kueleza bayana ligi kuu ya Vodacom  ni ngumu msimu  huu wakati kocha msaidizi wa Stand United  Athumani Bilal akifurahia kwa timu yake  kufikisha pointi 9.

Makocha  hao  wametoa kauli hizo baada ya mchezo wa timu za Stand United na Mbeya City uliofanyika Jumapili  katika dimba la CMM Kambarage mjini Shinyanga na wenyeji Stand waliibuka na ushindi wa bao 1 – 0.

Mchezo ulikuwa muhimu kwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha akiri hali ngumu

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amekiri Serikali kuwa katika hali ngumu, lakini akasema kuwa mkakati uliopo ni kudhibiti matumizi ili yaendane na fedha iliyopo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwambusi Kocha Bora 2013/14

KOCHA wa timu ya Mbeya City, Juma Mwambusi, ameibuka Kocha Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara iliyofikia tamati Aprili 19, mwaka huu. Kwa ushindi huo, Mwambusi alijitwalia kitita cha sh...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mwambusi matatani Mbeya

Baadhi ya wadau na wapenzi wa Mbeya City wametoa ya mioyoni mwao wakisema falsafa na kiwango cha ufundishaji cha kocha Juma Mwambusi kimefikia mwisho na kusababisha timu hiyo kusuasua na kujikongoja kwenye Ligi Kuu msimu huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mwambusi kutua Yanga leo

Safari ya kocha wa Mbeya City kutua Yanga imeiva baada ya jana kuwaaga rasmi wachezaji wake mazoezini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mwambusi bado anaaminika Mbeya City

Uongozi wa Mbeya City umesema hauna wazo la kuachana na kocha wao mkuu, Juma Mwambusi licha ya kufanya vibaya kwenye mechi saba za mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwambusi, Omog wapigiwa upatu Tuzo ya Kocha Bora VPL 2013/14

WADAU wa soka nchini wamempigia chapuo Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi, kuwa ndiye kocha bora katika Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), msimu wa 2013/14. Mbali na Mwambusi, kocha mwingine...

 

10 years ago

Habarileo

Makocha: Ligi Kuu ngumu

MAKOCHA wa timu mbalimbali za Ligi Kuu wamekiri kuwa ligi hiyo msimu huu imekuwa ngumu kiasi cha kuzigawanya timu katika makundi mawili, kwa maana ya timu za daraja la juu na timu za daraja la chini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Malawi akiri woga chanzo cha kipigo

Kocha msaidizi wa Malawi ‘The Flames’, Ramadhani Nsanzumo amesema uoga wa wachezaji wake ulisababisha wakapata kipigo kutoka kwa Taifa Stars, lakini wanawasubiri nyumbani kwani kuna silaha hatari waliziweka kando kwa ajili ya kuzitumia katika mchezo wa marudiano.

 

10 years ago

StarTV

Kocha wa kagera Suger akiri timu haiko sawa.

Baada ya kufungwa bao mbili kwa sifuri na mabingwa watetezi Timu ya Yanga,Kocha wa Kagera Sugar,Mohamed Richard maarufu kwa jina la Adolph,amesema timu yake ina matatizo.

Kocha huyo aliyeiongoza kwa michezo mitatu,tangu kuondoka kwa Kocha aliyekuwa akiifundisha,Mbwana Makata,amesema kuna kukosa umakini katika timu mambo ambayo atayarekebisha.

Kagera ilipoteza mchezo wake na Yanga ambapo ilichapwa magoli mawili kwa bila mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Mwinyi mjini Tabora ambapo goli la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani