Makocha: Ligi Kuu ngumu
MAKOCHA wa timu mbalimbali za Ligi Kuu wamekiri kuwa ligi hiyo msimu huu imekuwa ngumu kiasi cha kuzigawanya timu katika makundi mawili, kwa maana ya timu za daraja la juu na timu za daraja la chini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Uhamasishaji wa Makocha Ligi kuu
Â
Kila kocha ana aina ya uhamasishaji kwa timu anayoifundisha, iwe kwenye mechi au mazoezi hali inayochangia kuwajengea uwezo wa kujiamini wachezaji wake.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Barcelona kunoa makocha Ligi Kuu
MAKOCHA wa FC Barcelona ya Hispania, wanatarajia kuendesha mafunzo kwa makocha wa hapa nchini yatakayonyika Agosti 1 na 2, katika Uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam kuboresha kiwango cha...
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Makocha wahofia ratiba Ligi Kuu
Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikiingia kwenye raundi ya pili jana na leo, makocha wa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hiyo wameanza kuingiwa wasiwasi na ratiba yake wakidai ina athari kiufundi na kiafya.
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mavazi ya makocha wa Ligi Kuu ya Bara
Makocha mbalimbali duniani ni nadhifu kutokana na jinsi wanavyovaa wanapokuwa katika majukumu yao.
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Ubora, udhaifu wa makocha Ligi Kuu
Ligi Kuu Tanzania Bara inazidi kushika kasi huku ushindani baina ya timu na timu ukizidi kupamba moto.
Wakati ligi ikiwa kwenye mzunguko wa mwisho, zipo timu ambazo zimeonyesha kiwango cha juu huku nyingine zikionyesha kiwango kibovu. Pia kuna timu ambazo zimeonyesha kiwango cha wastani.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/Pluijm.jpg?width=650)
Vita ya makocha sita wa Ulaya Ligi Kuu
kocha wa Yanga Hans van Der Pluijm LIGI Kuu Bara inaanza leo huku gumzo likiwa ni uwezo wa makocha sita kutoka Ulaya ambao wanaandika historia ya kuzifundisha timu za ligi hiyo kwa pamoja ndani ya msimu mmoja. Kocha wa Simba Dylan Kerr Timu sita za ligi kuu zinafundishwa na makocha raia wa nchi za Ulaya ambao ni Hans van Der Pluijm wa Yanga raia wa Uholanzi, Dylan Kerr (Uingereza, Simba), Stewart Hall (Uingereza, Azam FC) na...
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Makocha wa Ulaya waiteka Ligi Kuu Bara
Hakuna shaka ushindani msimu ujao utakuwa baina ya makocha wa kigeni dhidi ya wazawa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Makocha Ligi Kuu wazichambua Simba, Yanga
Makocha wa klabu mbalimbali za Ligi Kuu nchini wameichambua mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kesho na kueleza kuwa Yanga ‘itabebwa’ na uzoefu huku Simba ikitakiwa kucheza kitimu zaidi ili ishinde mchezo huo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania