Vita ya makocha sita wa Ulaya Ligi Kuu
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/Pluijm.jpg?width=650)
kocha wa Yanga Hans van Der Pluijm LIGI Kuu Bara inaanza leo huku gumzo likiwa ni uwezo wa makocha sita kutoka Ulaya ambao wanaandika historia ya kuzifundisha timu za ligi hiyo kwa pamoja ndani ya msimu mmoja. Kocha wa Simba Dylan Kerr Timu sita za ligi kuu zinafundishwa na makocha raia wa nchi za Ulaya ambao ni Hans van Der Pluijm wa Yanga raia wa Uholanzi, Dylan Kerr (Uingereza, Simba), Stewart Hall (Uingereza, Azam FC) na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Makocha wa Ulaya waiteka Ligi Kuu Bara
9 years ago
Habarileo03 Oct
Makocha: Ligi Kuu ngumu
MAKOCHA wa timu mbalimbali za Ligi Kuu wamekiri kuwa ligi hiyo msimu huu imekuwa ngumu kiasi cha kuzigawanya timu katika makundi mawili, kwa maana ya timu za daraja la juu na timu za daraja la chini.
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Uhamasishaji wa Makocha Ligi kuu
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Makocha wahofia ratiba Ligi Kuu
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Barcelona kunoa makocha Ligi Kuu
MAKOCHA wa FC Barcelona ya Hispania, wanatarajia kuendesha mafunzo kwa makocha wa hapa nchini yatakayonyika Agosti 1 na 2, katika Uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam kuboresha kiwango cha...
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mavazi ya makocha wa Ligi Kuu ya Bara
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Ubora, udhaifu wa makocha Ligi Kuu
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Makocha Ligi Kuu wazichambua Simba, Yanga
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.
TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE
Kagera Sugar – African Sports 16:00 EAT
Maji Maji – Azam 16:00 EAT
Mwadui – Ndanda 16:00 EAT
Prisons – Mtibwa...