Makocha wahofia ratiba Ligi Kuu
Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikiingia kwenye raundi ya pili jana na leo, makocha wa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hiyo wameanza kuingiwa wasiwasi na ratiba yake wakidai ina athari kiufundi na kiafya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV18 Dec
Ligi Daraja La Tatu Morogoro Makocha walalamikia ratiba.
Kivumbi cha ligi daraja la tatu ngazi ya Mkoa Morogoro kinatarajiwa kufikia tamati ijumaa hii, huku viwanja viwili vya Sabasaba na Jamhuri vikitarajia kuwaka Moto pale timu za Mawenzi, Nyamvisi FC, Moro Kids na Kizuka Star, zitakaposhuka dimbani kupambana.
Licha ya ligi hiyo kuanza kwa kasi katika vituo vitatu tofauti, baadhi ya makocha wa vilabu vinavyoshiriki michuano hiyo wamelalamikia ratiba ya michuano hiyo kuwa inawabana kutokana na siku moja kuchezwa michezo miwili kutika uwanja...
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.
TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE
Kagera Sugar – African Sports 16:00 EAT
Maji Maji – Azam 16:00 EAT
Mwadui – Ndanda 16:00 EAT
Prisons – Mtibwa...
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Uhamasishaji wa Makocha Ligi kuu
9 years ago
Habarileo03 Oct
Makocha: Ligi Kuu ngumu
MAKOCHA wa timu mbalimbali za Ligi Kuu wamekiri kuwa ligi hiyo msimu huu imekuwa ngumu kiasi cha kuzigawanya timu katika makundi mawili, kwa maana ya timu za daraja la juu na timu za daraja la chini.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Barcelona kunoa makocha Ligi Kuu
MAKOCHA wa FC Barcelona ya Hispania, wanatarajia kuendesha mafunzo kwa makocha wa hapa nchini yatakayonyika Agosti 1 na 2, katika Uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam kuboresha kiwango cha...
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mavazi ya makocha wa Ligi Kuu ya Bara
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Ubora, udhaifu wa makocha Ligi Kuu
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Makocha wa Ulaya waiteka Ligi Kuu Bara
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Makocha Ligi Kuu wazichambua Simba, Yanga