Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi Daraja La Tatu Morogoro Makocha walalamikia ratiba.

 

Kivumbi cha ligi daraja la tatu ngazi ya Mkoa Morogoro kinatarajiwa kufikia tamati ijumaa  hii, huku viwanja viwili vya Sabasaba na Jamhuri vikitarajia kuwaka Moto pale timu za Mawenzi, Nyamvisi FC, Moro Kids na Kizuka Star,  zitakaposhuka dimbani kupambana.

Licha ya ligi hiyo kuanza kwa kasi katika vituo vitatu tofauti, baadhi ya makocha wa  vilabu vinavyoshiriki michuano hiyo wamelalamikia ratiba ya michuano hiyo kuwa inawabana kutokana na siku moja kuchezwa michezo miwili kutika uwanja...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Makocha wahofia ratiba Ligi Kuu

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikiingia kwenye raundi ya pili jana na leo, makocha wa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hiyo wameanza kuingiwa wasiwasi na ratiba yake wakidai ina athari kiufundi na kiafya.

 

11 years ago

Michuzi

PANONE FC YA KILIMANJARO ILIVYOTANGAZWA BINGWA WA MKOA LIGI DARAJA LA TATU

Wachezaji wa timu ya Panone FC ya mkoani Kilimanjaro wakipasha misuli joto kabla ya mchezo wao wa kukamilisha ratiba dhidi ya waliokuwa mabingwa wa mkoa watetezi timu ya Machava Fc. Wachezaji wa timu za Panone fc na Machava fc wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kukamilisha ratiba. Wachezaji wa Panone fc wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mchezo. Wachezaji wa timu ya Machava fc wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa mchezo. Waaamuzi wa mchezo huo tayari kwa kuanza...

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.

TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE

Kagera Sugar – African Sports           16:00 EAT

Maji Maji – Azam                               16:00 EAT

Mwadui – Ndanda                              16:00 EAT

Prisons – Mtibwa...

 

9 years ago

Habarileo

Makocha: Ligi Kuu ngumu

MAKOCHA wa timu mbalimbali za Ligi Kuu wamekiri kuwa ligi hiyo msimu huu imekuwa ngumu kiasi cha kuzigawanya timu katika makundi mawili, kwa maana ya timu za daraja la juu na timu za daraja la chini.

 

10 years ago

Mwananchi

Uhamasishaji wa Makocha Ligi kuu

  Kila kocha ana aina ya uhamasishaji kwa timu anayoifundisha, iwe kwenye mechi au mazoezi hali inayochangia kuwajengea uwezo wa kujiamini wachezaji wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Ubora, udhaifu wa makocha Ligi Kuu

Ligi Kuu Tanzania Bara inazidi kushika kasi huku ushindani baina ya timu na timu ukizidi kupamba moto. Wakati ligi ikiwa kwenye mzunguko wa mwisho, zipo timu ambazo zimeonyesha kiwango cha juu huku nyingine zikionyesha kiwango kibovu. Pia kuna timu ambazo zimeonyesha kiwango cha wastani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barcelona kunoa makocha Ligi Kuu

MAKOCHA wa FC Barcelona ya Hispania, wanatarajia kuendesha mafunzo kwa makocha wa hapa nchini yatakayonyika Agosti 1 na 2, katika Uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam kuboresha kiwango cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Mavazi ya makocha wa Ligi Kuu ya Bara

Makocha mbalimbali duniani ni nadhifu kutokana na jinsi wanavyovaa wanapokuwa katika majukumu yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani