Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PANONE FC YA KILIMANJARO ILIVYOTANGAZWA BINGWA WA MKOA LIGI DARAJA LA TATU

Wachezaji wa timu ya Panone FC ya mkoani Kilimanjaro wakipasha misuli joto kabla ya mchezo wao wa kukamilisha ratiba dhidi ya waliokuwa mabingwa wa mkoa watetezi timu ya Machava Fc. Wachezaji wa timu za Panone fc na Machava fc wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kukamilisha ratiba. Wachezaji wa Panone fc wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mchezo. Wachezaji wa timu ya Machava fc wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa mchezo. Waaamuzi wa mchezo huo tayari kwa kuanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PANONE FC YA MKOANI KILIMANJARO YATINGA LIGI DARAJA LA KWANZA


Kikosi cha timu ya soka ya Panone fc ya Mkoani Kilimanjaro. Wachezaji wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakishangilia baada ya kuifunga tmu ya Town Small Boys na kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Tanzania Daima

Panone FC yaongoza ligi Kilimanjaro

TIMU ngeni katika Ligi Daraja la Tatu ngazi ya Mkoa wa Kilimanjaro, Panone FC, hadi sasa inaongoza ligi hiyo ikiwa imejikusanyia pointi sita baada ya kushuka dimbani mara mbili. Panone...

 

10 years ago

Michuzi

MWadui FC na Panone FC zatoka sare 1-1 mtanange wa ligi daraja la kwanza mjini moshi

Wachezaji wa timu ya Mwadui FC, wakishangilia goli lililofungwa na Bakari Kigodeko, katika mchezo wa ligi daraja la kwanza dhidi ya Panone FC, uliofanyika kwenye Dimba la Ushirika, mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1.Sehemu ya mashabiki waliojitokeza kwenye dimba la Ushirika, wakifuatilia mchezo kati ya Mwadui na Panone.Mashabiki wa Panone wakishangilia goli la kusawazisha lililopatikana katika dakika ya 16 ya kipindi cha kwanza, likifungwa na Tony...

 

11 years ago

Michuzi

PANONE FC WAFANYIWA SHEREHE BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA MKOA WA KILIMANJARO

Wachezaji wa timu ya Panone fc wakisalimia mara baada ya kutambulishwa wakati wa hafla ya kuwapongeza baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mkoa. Katibu wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Mohamed Musa akizungumza jambo wakati wa hafla ya kuwapongeza wachezaji wa timu ya Panone fc mara baada ya kutwaa ubingwa wa mkoa wa Kilimanjaro. Mwamuzi Hafidh Mshery akisalimia  wakati wa hafla ya
kuwapongeza wachezaji wa Panone fc.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

StarTV

Ligi Daraja La Tatu Morogoro Makocha walalamikia ratiba.

 

Kivumbi cha ligi daraja la tatu ngazi ya Mkoa Morogoro kinatarajiwa kufikia tamati ijumaa  hii, huku viwanja viwili vya Sabasaba na Jamhuri vikitarajia kuwaka Moto pale timu za Mawenzi, Nyamvisi FC, Moro Kids na Kizuka Star,  zitakaposhuka dimbani kupambana.

Licha ya ligi hiyo kuanza kwa kasi katika vituo vitatu tofauti, baadhi ya makocha wa  vilabu vinavyoshiriki michuano hiyo wamelalamikia ratiba ya michuano hiyo kuwa inawabana kutokana na siku moja kuchezwa michezo miwili kutika uwanja...

 

10 years ago

Michuzi

PANONE FC ILIVYOPOKEA UGENI WA REAL MADRID KILIMANJARO

Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Dk Fenera Mkangara akiongoza ugeni toka klabu ya Real Madrid ulipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA.)
Baadhi ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa KIA .

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Habarileo

Makalla amtaka Minziro kuipeleka Panone Ligi Kuu

MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla amemtaka kocha mkuu wa timu ya daraja la kwanza ya Panone Fc, Fred Minziro kuandaa timu yake vyema ili kucheza Ligi Kuu.

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

9 years ago

Michuzi

PANONE FC YASONGA MBELE LIGI YA SHIRIKISHO YA AZAM,YAIFUNGA POLISI DAR ES SALAAM BAO 2 KWA 1

Moja ya heka heka langoni mwa timu ya Panone fc.Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mchezo huo.Vikosi vya timu za Polisi Dar na Panone fc vikiwa tayari kuingia uwanjani.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani