Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PANONE FC YASONGA MBELE LIGI YA SHIRIKISHO YA AZAM,YAIFUNGA POLISI DAR ES SALAAM BAO 2 KWA 1

Moja ya heka heka langoni mwa timu ya Panone fc.Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mchezo huo.Vikosi vya timu za Polisi Dar na Panone fc vikiwa tayari kuingia uwanjani.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

YANGA YASONGA MBELE KWA USHINDI MWEMBAMBA SASA KUKUTANA NA AZAM JUMATATO PATACHIMBIKAJE


Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe (katikati) akishangilia goli lake kwa kuwapungia mkono mashabiki
Mabingwa wa Tanzania bara Young Africans ‘Yanga’, leo wameibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 mbele ya Khartoum Nalitonal Club katika mwendelezo wa michuano ya Kagame Cup mechi iliyopigwa leo jioni kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo ulianza kwa kasi lakini Khartoum walionekana kuwamudu vyema Yanga dakika za mwanzoni na walifanikiwa kutengeneza nafasi kadhaa lakini hawakuweza...

 

10 years ago

Vijimambo

ARSENAL YAIFUNGA HULL CITY BAO 3-1 KATIKA LIGI KUU ENGLAND

Timu ya soka ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Hull City katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza. Mlinda mlango wa Hull City, Steve Harper akiwa hana la kufanya zaidi ya kuuangalia mpira ukijaa wavuni.Ikicheza ugenini katika uwanja wa KC, washika bunduki hao wa jiji la London walionyesha kandanda la hali ya juu na kuonyesha ubora wao wa kumiliki mpira hadi mwisho wa mchezo wao.
Mabao mawili toka kwa mshambuliaji wake mwenye kasi Alexis Sanchez...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YABAMIZWA BAO 2 - 1 KUTOKA KWA AZAM NA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la...

 

11 years ago

Michuzi

Argentina yasonga nusu fainali kwa kuibanjua Ubelgiji bao 1-0

Na Sultani KipingoBao la dakika ya nane lililowekwa kimiani na mshambuliaji wa Napoli Gonzalo Higuain lilitosha kuipeleka Argentina kwenye nusu fainali za Kombe la Dunia walipocheza dhidi ya Ubelgiji ambayo ilishindwa kabisa kuonesha cheche zake leo jijini Brasilia.Higuain alitumia vyema kosa la kizembe la nahodha wa Ubelgiji Vincent Kompany kuipaisha Argentina kwa jaribio lao la kwanza kwenye goli la adui.

Kompany aliupoteza mpira na Lionel Messi akauzima kabla ya kumtilia pande Angel Di...

 

10 years ago

Michuzi

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Simba na Polisi Usiku Huu Uwanja wa Amaan Simba Ikiwa mbele kwa bao 2--0

Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.
Kikosi cha timu ya Polisi Zanzibar kilichokubali kipigo cha bao 2--0 kutoka kwa timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

9 years ago

Habarileo

Magharibi yasonga mbele Zanzibar

TIMU ya soka ya Wilaya ya Magharibi imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Zanzibar CUP baada ya kuifunga Wilaya ya Kaskazini B mabao 3-2.

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars yasonga mbele

Taifa Stars imesonga mbele katika michezo ya raundi ya kwanza kwa Kanda ya Afrika ya mchujo wa Kombe la dunia

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga SC yasonga mbele CAF

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamefanikiwa kusonga mbele katika mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa jumla ya mabao 3-2, licha ya kulala ugenini kwa mabao 2-1 dhidi ya BDF ya Botswana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani