Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YASONGA MBELE KWA USHINDI MWEMBAMBA SASA KUKUTANA NA AZAM JUMATATO PATACHIMBIKAJE


Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe (katikati) akishangilia goli lake kwa kuwapungia mkono mashabiki
Mabingwa wa Tanzania bara Young Africans ‘Yanga’, leo wameibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 mbele ya Khartoum Nalitonal Club katika mwendelezo wa michuano ya Kagame Cup mechi iliyopigwa leo jioni kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo ulianza kwa kasi lakini Khartoum walionekana kuwamudu vyema Yanga dakika za mwanzoni na walifanikiwa kutengeneza nafasi kadhaa lakini hawakuweza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

PANONE FC YASONGA MBELE LIGI YA SHIRIKISHO YA AZAM,YAIFUNGA POLISI DAR ES SALAAM BAO 2 KWA 1

Moja ya heka heka langoni mwa timu ya Panone fc.Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mchezo huo.Vikosi vya timu za Polisi Dar na Panone fc vikiwa tayari kuingia uwanjani.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga SC yasonga mbele CAF

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamefanikiwa kusonga mbele katika mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa jumla ya mabao 3-2, licha ya kulala ugenini kwa mabao 2-1 dhidi ya BDF ya Botswana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yasonga mbele michuano ya Afrika

Young Africans ya Tanzania imesonga mbele michuano ya Kombe la Shirikisho kwa kuibwaga BDF ya Botswana magoli 3-2

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YASONGA MBELE HATUA YA 16 YAFUNGWA GOLI 1 NA PLATNUM

Timu ya Yanga imeweza kuvuka hatua ya 16 bora michuano ya kombe la shirikisho baada ya kufungwa goli 1-0 na timu ya Platnum ya Zimbabwe katika mechi ya marudiano iliyochezewa katika uwanja wa Zvishavane nchini Zimbabwe.

Mechi ya kwanza ya timu hizo iliyochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, timu ya Yanga ilishinda bao 5-1 dhidi ya timu hiyo ya Zimbabwe na kufanya timu ya Yanga kuibuka mshindi wa jumla ya mabao 5-2 dhidi ya Platnum,

Mchezaji Walter Msoma wa Platnum ndiye aliyeifungia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Ukawa sasa ni mbele kwa mbele

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kamwe hautarudi nyuma katika makubaliano yaliyofikiwa juzi, likiwamo la kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi mbalimbali za uongozi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Man U yasonga mbele UEFA

Manchester Utd imefanikiwa kusonga mbele kwa kishindo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 4-0 dhidi ya Club Brugge na kufanya matokeo kuwa 7-1.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani