Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YASONGA MBELE HATUA YA 16 YAFUNGWA GOLI 1 NA PLATNUM

Timu ya Yanga imeweza kuvuka hatua ya 16 bora michuano ya kombe la shirikisho baada ya kufungwa goli 1-0 na timu ya Platnum ya Zimbabwe katika mechi ya marudiano iliyochezewa katika uwanja wa Zvishavane nchini Zimbabwe.

Mechi ya kwanza ya timu hizo iliyochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, timu ya Yanga ilishinda bao 5-1 dhidi ya timu hiyo ya Zimbabwe na kufanya timu ya Yanga kuibuka mshindi wa jumla ya mabao 5-2 dhidi ya Platnum,

Mchezaji Walter Msoma wa Platnum ndiye aliyeifungia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga SC yasonga mbele CAF

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamefanikiwa kusonga mbele katika mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa jumla ya mabao 3-2, licha ya kulala ugenini kwa mabao 2-1 dhidi ya BDF ya Botswana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yasonga mbele michuano ya Afrika

Young Africans ya Tanzania imesonga mbele michuano ya Kombe la Shirikisho kwa kuibwaga BDF ya Botswana magoli 3-2

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YASONGA MBELE KWA USHINDI MWEMBAMBA SASA KUKUTANA NA AZAM JUMATATO PATACHIMBIKAJE


Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe (katikati) akishangilia goli lake kwa kuwapungia mkono mashabiki
Mabingwa wa Tanzania bara Young Africans ‘Yanga’, leo wameibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 mbele ya Khartoum Nalitonal Club katika mwendelezo wa michuano ya Kagame Cup mechi iliyopigwa leo jioni kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo ulianza kwa kasi lakini Khartoum walionekana kuwamudu vyema Yanga dakika za mwanzoni na walifanikiwa kutengeneza nafasi kadhaa lakini hawakuweza...

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA YAFUNGWA GOLI 1 NA MALAWI LAKINI YAPITA SASA KUKUTANA NA ALGERIA

Mbwana Samata (kushoto) na Thomas Ulimwengu wakishangilia goli la pili lililofungwa na UlimwenguMbwana Samata (kushoto) na Thomas Ulimwengu wakishangilia goli la pili lililofungwa na Ulimwengu wakati Stars ikicheza dhidi ya Malawi kwenye uwanja wa Taifa
Timu ya Tanzania Taifa Stars leo imefuzu kusonga mbele baada ya kufungwa goli 1-0 na Malawi goli lililopatikana katika kipindi cha kwanza katika dakika ya 43 ya mchezo goli lililofungwa kifundi nje ya 18 na mchezaji machachali wa Malawi John Banda anayevaa jezi nambari 7.
Katika mchezo huo uliochezewa katika uwanja wa Kamuzu jijini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars yasonga mbele

Taifa Stars imesonga mbele katika michezo ya raundi ya kwanza kwa Kanda ya Afrika ya mchujo wa Kombe la dunia

 

9 years ago

Habarileo

Magharibi yasonga mbele Zanzibar

TIMU ya soka ya Wilaya ya Magharibi imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Zanzibar CUP baada ya kuifunga Wilaya ya Kaskazini B mabao 3-2.

 

9 years ago

BBCSwahili

Man U yasonga mbele UEFA

Manchester Utd imefanikiwa kusonga mbele kwa kishindo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 4-0 dhidi ya Club Brugge na kufanya matokeo kuwa 7-1.

 

9 years ago

GPL

MAN UTD YASONGA MBELE UEFA

Kutoka kulia Wayne Rooney, Memphis Depay na  Mata wakishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 20 kipindi cha kwanza. Herrera akishangilia baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 63 kipindi cha pili.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani