Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAFUNGWA GOLI 1 NA MALAWI LAKINI YAPITA SASA KUKUTANA NA ALGERIA

Mbwana Samata (kushoto) na Thomas Ulimwengu wakishangilia goli la pili lililofungwa na UlimwenguMbwana Samata (kushoto) na Thomas Ulimwengu wakishangilia goli la pili lililofungwa na Ulimwengu wakati Stars ikicheza dhidi ya Malawi kwenye uwanja wa Taifa
Timu ya Tanzania Taifa Stars leo imefuzu kusonga mbele baada ya kufungwa goli 1-0 na Malawi goli lililopatikana katika kipindi cha kwanza katika dakika ya 43 ya mchezo goli lililofungwa kifundi nje ya 18 na mchezaji machachali wa Malawi John Banda anayevaa jezi nambari 7.
Katika mchezo huo uliochezewa katika uwanja wa Kamuzu jijini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

YANGA YASONGA MBELE HATUA YA 16 YAFUNGWA GOLI 1 NA PLATNUM

Timu ya Yanga imeweza kuvuka hatua ya 16 bora michuano ya kombe la shirikisho baada ya kufungwa goli 1-0 na timu ya Platnum ya Zimbabwe katika mechi ya marudiano iliyochezewa katika uwanja wa Zvishavane nchini Zimbabwe.

Mechi ya kwanza ya timu hizo iliyochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, timu ya Yanga ilishinda bao 5-1 dhidi ya timu hiyo ya Zimbabwe na kufanya timu ya Yanga kuibuka mshindi wa jumla ya mabao 5-2 dhidi ya Platnum,

Mchezaji Walter Msoma wa Platnum ndiye aliyeifungia...

 

10 years ago

Habarileo

Balozi ashauri sekta binafsi Malawi, Tanzania kukutana

Mwenyekiti wa PSPF, Reginald Mengi.BALOZI wa Malawi nchini, Hawa Ndilowe ameiomba Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (PSPF) kukutana na wenzao wa Malawi ili waweze kujenga uhusiano ambao utasaidia wafanyabiashara wa nchi hizo mbili kufanya biashara pamoja.

 

9 years ago

BBCSwahili

TP Mazembe kukutana na Algeria

Klabu ya TP Mazembe ya Congo DRC, Itakutana na klabu ya Algeria USM Alger katika hatua ya fainali ya klabu bingwa barani Afrika.

 

10 years ago

Bongo5

AY aliweka ‘appointment ya kukutana na Dr Dre Marekani, wapanga mahali na siku lakini..

Ambwene Yesaya aka AY, hakwenda Marekani kushoot video ya ‘Touch Me’ aliyomshirikisha Sean Kingston na Ms Triniti pekee, alitaka kukutana pia na producer mkongwe, Andre Romelle Young aka Dr Dre ambaye ni role model wake. “Nilijaribu kumtumia Sean Kingston, lakini ilishindikana,” AY ameliambia gazeti la Daily Nation la Kenya. “Tulikuwa tumeshapanga kabisa sehemu ya kukutana […]

 

10 years ago

Michuzi

MALAWI WAFANYA MAZOEZI CCM KIRUMBA LEO, TAYARI KUKUTANA NA TAIFA STARS KESHO JUMAPILI


Na Faustine Ruta, Mwanza.Timu ya Taifa ya Malawi (The Flames) pichani leo jioni imefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili Wenyeji wao Tanzania Timu ya (Taifa Stars) mchezo utakaochezwa kesho jumapili saa 10.30 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Wakibadilishana Mawazo wakati Wachezaji wa Malawi wanajifua mara ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jioni ya leo.
Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa...

 

11 years ago

Malawi Today

Deadlock in Malawi and Tanzania on Lake Malawi border mediation talks


Coastweek
Deadlock in Malawi and Tanzania on Lake Malawi border mediation talks
Malawi Today
Mediation talks between Malawi and neighbouring Tanzania on the border dispute over Lake Malawi ended in a deadlock last week. Head of the mediating team, former Mozambican President Joaquim Chissano is quoted by allafrica.com as having publicly ...
Tanzania: After Two Days, No Agreement Over Lake NiassaAllAfrica.com
Dar firm on border claimDaily News
Tanzania, Malawi fail to reach agreement on border...

 

10 years ago

BBCSwahili

Alikaidi wazazi lakini sasa anajuta

Sarika ni msichana kutoka familia tajiri ya kihindi, lakini ndao yake kwa mwanaume mfarika ilisababisha familia yake kumlaani. Kwa sasa ndoa imevunjika

 

9 years ago

Mwananchi

Hongera Rais, lakini sasa jenga mfumo

Rais John Magufuli juzi alitengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward Hoseah akieleza kuwa hajaridhishwa na utendaji wake hasa katika suala la upotevu wa makontena ambao umeisababishia Serikali kupoteza mapato.

 

11 years ago

Mwananchi

Avumaye kwa sasa ni Mandela, lakini na wengine wapo

Kwa sasa ulimwengu mzima uko kwenye majonzi makubwa kwa kumpoteza kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani