PANONE FC WAFANYIWA SHEREHE BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA MKOA WA KILIMANJARO
Wachezaji wa timu ya Panone fc wakisalimia mara baada ya kutambulishwa wakati wa hafla ya kuwapongeza baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mkoa.
Katibu wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Mohamed Musa akizungumza jambo wakati wa hafla ya kuwapongeza wachezaji wa timu ya Panone fc mara baada ya kutwaa ubingwa wa mkoa wa Kilimanjaro.
Mwamuzi Hafidh Mshery akisalimia wakati wa hafla ya
kuwapongeza wachezaji wa Panone fc.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziPANONE FC YA KILIMANJARO ILIVYOTANGAZWA BINGWA WA MKOA LIGI DARAJA LA TATU
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Panone FC yaongoza ligi Kilimanjaro
TIMU ngeni katika Ligi Daraja la Tatu ngazi ya Mkoa wa Kilimanjaro, Panone FC, hadi sasa inaongoza ligi hiyo ikiwa imejikusanyia pointi sita baada ya kushuka dimbani mara mbili. Panone...
9 years ago
BBCSwahili29 Nov
Fury amchapa Klitschko na kutwaa ubingwa
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Shahanga: Nilikaribia kutwaa ubingwa wa dunia
11 years ago
Mwananchi16 May
Nditi aisaidia Chelsea kutwaa ubingwa
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qVRVKl9kono/VTplCtps6dI/AAAAAAABXqk/6TMrrYexCD4/s72-c/3.jpg)
Yanga noma yabakisha pointi 3 kutwaa ubingwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-qVRVKl9kono/VTplCtps6dI/AAAAAAABXqk/6TMrrYexCD4/s1600/3.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimpiga kanzu mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulahman Musa, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 5-0.
Timu zikiingia uwanjani.
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting. Picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Goran: Saa 456 za Simba kutwaa ubingwa
10 years ago
MichuziPANONE FC ILIVYOPOKEA UGENI WA REAL MADRID KILIMANJARO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI